Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

supporting infrastructure kwenda pale PlasticArena

View: https://x.com/AfricanHub_/status/2022672276701802765?s=20

Fake numbers… real numbers over 5000 dead
IMG_8806.jpeg
 
Sababu hatuna maskini wengi, wengi wanaweza afford vip seats .
Sasa wewe tuletee vvip wa Nairobi aliyewahi lipa 12000 ksh na uwanja ukawa full
How many well attended sports events mumehost this year? Ama munangoja Simba na Yanga. 😂 😂 Sisi sio rika yenu bana.
 
How many well attended sports events mumehost this year? Ama munangoja Simba na Yanga. 😂 😂 Sisi sio rika yenu bana.

Kwani league ni simba na yanga? Ebu angalia minimum entrance fee kwa league ya Tanzania , halafu tuambie ni lini club zenu za kawaida ziliweza fikisha revenue hata ya kulingana na fountain gate? Hivi muranga FC Ina capacity ya kumlipa footballer hata 2000 usd per month
 
How many well attended sports events mumehost this year?
 
How many well attended sports events mumehost this year? Ama munangoja Simba na Yanga. 😂 😂 Sisi sio rika yenu bana.
Yaan unajisifia sport events ambazo hata haziwezi fikisha revenue ya 30,000 usd.
Tanzania tuko revenue oriented hatufanyi vitu kwa sifa kama nyie mlazimisha kuhost vitu ambavyo at the end of the day havina revenue impact.
Ukitaka jua mko nyuma angalia hata bajeti yenu ya ministry of sport versus ya tz , theni utapata picha nani yuko vizur
 
Kujigamba vitu hakuna na chan mlituaibisha kwa kushindwa kuingia viwanjani
CHAN mlikuwa mnaenda kutoa ushamba renovation ya kasarani ,ila tukisema tufanye comparison ya match attendance ya mpira na entrance fee ,ilitakiwa tuangalia strength ya league.
Kama CHAN entrance haikuwa hata 100 ksh ila watu hawakwenda ila wako Radhi kwenda kulipia mpaka 12,000 ksh per match .acha visingizio vya chan leteni the highest revenue kwa international match yoyote iliyowahi fanyika Kenya iliwahi fikisha hata 20mil ksh.
 
Back
Top Bottom