Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi ukaiona Kenya hapa:
View attachment 3566124
na waliobeba mara ya mwisho si mwingine bali ni........

Yaani lazima ni 5 years tubebe AFCON kubwa
 
VIP wa talanta vs Ordinary wa Hoima

View: https://x.com/ignyharaz2/status/2039598177066594308?s=20

1775122503437.png
 
they were just friendly matches na timu zenyewe si umeziona za mwisho kabisa ukoo, meanwhile Tanzania kabeba AFCON under 15 last year
Kujeni muone excuses galore zishaanza from footballing nation 🤣🤣🤣🤣
 
  • Dollar millionaires ni uongo, ni statistics za kutengeneza.
  • Entertainment capital ni uongo pia, watu wenu hata kwenye mechi za mpira hawaudhurii. Mnaandamana na kuuawa kwa unga tu.
  • heartbeat?? Ni uongo pia, moyo utafanya kazi vipi bila chakula, nchi ambayo a decent meal a day ni changamoto kwa kila mtu.?
Sawa sawa nyamwezi. Endelea kuugua pole. Mbona hizo story za statistics za kuundwa ni wimbo tumezoea sasa, especially when it places Kenya ahead of Tanganyika?
 
Kujeni muone excuses galore zishaanza from footballing nation 🤣🤣🤣🤣
infact the only difference is, the team we played with was was below in CAF standards thats why we go a big hit, unlike nyie mlicheza na wenzenu waliopo on 3 digits ranking 🤣 🤣 but still mlifungwa
 
Ulisema pesa haitalipwa. Ishalipwa sasa unatufuta jinsi ya kufuta machozi after being disappointed. Wewe utasumbuka sana na bado!!
I never said haitalipwa and i was the first kuconfirm imeshalipwa way before mvurywa even posted, However i feel sorry for you because even after paying that amount chances za nyie kuhost AFCON Ni very slim, yaani if you manage to pull it up basi just know Ruto went extra ordinary to make it happen
 
huo ndo uhalisia, they were friendly matches kwan uongo?
Bongolala, it was FIFA international weekend. Majority of them were friendly matches and this is what FIFA uses to rank teams based on how they perform during these international weekends.

Just the other day, Nyamwezia reminded us here the same thing when you won your qualifiers to AFCON. Iweje leo Ngoma imebadilika just because you've dropped places in FIFA rankings. Mnakuanga desperate hadi inaudhi!!
 
Ulisema pesa haitalipwa. Ishalipwa sasa unatufuta jinsi ya kufuta machozi after being disappointed. Wewe utasumbuka sana na bado!!
btw 🤣 🤣 i confirm to you mpaka saahv Kenya has 0 chances of hosting, the current plans i have info nazo ni to make kenya 1 stadium tournamant or Uganda to take over by building a new stadium together with zanzibar
 
Bongolala, it was FIFA international weekend. Majority of them were friendly matches and this is what FIFA uses to rank teams based on how they perform during these international weekends.

Just the other day, Nyamwezia reminded us here the same thing when you won your qualifiers to AFCON. Iweje leo Ngoma imebadilika just because you've dropped places in FIFA rankings. Mnakuanga desperate hadi inaudhi!!
you did loose the first match and won the second, likewise to us lost the first and won the second(even with many goals) however the main difference was the team that won with us the first match was way more below than usual and pulled us down the most, but you didnt do anything unique on the friendlies
 
na waliobeba mara ya mwisho si mwingine bali ni........

Yaani lazima ni 5 years tubebe AFCON kubwa

View: https://www.instagram.com/reel/DI68sHztsTt/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
 
Back
Top Bottom