stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,791
- 15,716
huyu jamaaa ana site moja ya gesi pale mombasa, kuna watu huu mwaka ukiisha 🤣
Niambia mji gani hapo Vumbistan unafikia Mombasa.
Mambo si ndo hayo sasa, na tena wana umeme mwingi
View: https://x.com/ChimpReports/status/2039323664479384043?s=20
Tulisha discuss humu hii article haihusishi Zanzibar yenye hotels room zaidi ya any city in EA!
Will we host it? Why don't you chose one propaganda and stick to it?Kwanini mtahost AFCON kwenye mji mmoja tu?
Why all stadia ziwr mji mmoja tu, hiyo miji mingine vipi?