Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,212
- 35,595
Niambia mji gani hapo Vumbistan unafikia Mombasa.
Nenda kanye watu wapate ajira maku ww
Niambia mji gani hapo Vumbistan unafikia Mombasa.
Mambo si ndo hayo sasa, na tena wana umeme mwingi
View: https://x.com/ChimpReports/status/2039323664479384043?s=20
Tulisha discuss humu hii article haihusishi Zanzibar yenye hotels room zaidi ya any city in EA!
Will we host it? Why don't you chose one propaganda and stick to it?Kwanini mtahost AFCON kwenye mji mmoja tu?
Why all stadia ziwr mji mmoja tu, hiyo miji mingine vipi?
Saa hii hautasikia story za FIFA ranking tena 🤣🤣🤣Wachawi mpo?
It was just a matter of time. Tanzania is back to where they belong.
View attachment 3565696
na waliobeba mara ya mwisho si mwingine bali ni........Huwezi ukaiona Kenya hapa:
View attachment 3566124
www.instagram.com
they were just friendly matches na timu zenyewe si umeziona za mwisho kabisa ukoo, meanwhile Tanzania kabeba AFCON under 15 last yearSaa hii hautasikia story za FIFA ranking tena 🤣🤣🤣