Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe akili yako ni ndogo sana, sasa kama by 2020 vijiji vyote vitakuwa na umeme, unategemea by now tupo 30%? can any country in the world connect 70% of its population within three years?, even most advanced countries can't do that. For sure Tanzania will attain universal electrification by 2020/21, currently urbun connectivity is 94% and rural connectivity is 49%.
With 1350 megawatts of installed capacity as at 2017 and achieve universal electrification by 2021? Hii hata Yesu mwenyewe hawezi fanya miujiza ya ina hii hata albino millioni wachinjwe this remains a pipe dream and a big fantasy your goverment feeds its illiterate people.
 
Hiyo 92000 ni TANROADS nimekuambia subiri nakuletea information zote.
Nimekueleza road Agencies zipo mbili Tanzania. (TANROADS na TARURA)
Mwanzoni TARURA haikuwepo barabara zilikuwa zinahudumiwa na wizara (TAMISEMI - Local Government)
So kwanini usisubiri nikuletee badala ya kuhaha hivi?
Bring the data, I don't need stories. and until proven so with linked data, I stand by the only available linked data which is 7600km
 
Halafu hizo ni za TANROADS pekee. Bado barabara za TAMISEMI.
Jumla ya barabara za lami hadi mwishoni mwa September 2017 ni kati ya 17,000km - 18,000km. Kenya nadhani ni kama 14,000km, ninatafuta taarifa za Kenya rasmi, nitawaleteeni punde tu
 
Magu ameshajenga km 1500 tangu aingie madarakani sasa jumlisha 7600 alizokuta utagundua 9100 ndio sahihi kwa sasa!!
Usipende sana Kua king'anganizi
Source of info please? Mie sinashida na any figure, just bring supporting data.

Pia mimi nawezasema Uhuru has paved 7000km of roads so we are at 21400km. But until I source my claims, they'll stay being my words.
 
Jumla ya barabara za lami hadi mwishoni mwa September 2017 ni kati ya 17,000km - 18,000km. Kenya nadhani ni kama 14,000km, ninatafuta taarifa za Kenya rasmi, nitawaleteeni punde tu
Data zipo bado internal. Nakuambia zikitolewa wakenya watakuwa midogo wazi. Report zilizopo online sasa hivi ni za 2013 ndizo wanazozitumia hawa wakenya.
 
Jumla ya barabara za lami hadi mwishoni mwa September 2017 ni kati ya 17,000km - 18,000km. Kenya nadhani ni kama 14,000km, ninatafuta taarifa za Kenya rasmi, nitawaleteeni punde tu
Hmmm, figures keep flying now. So 17000km-18000km is 58% of 86000km? I'm getting confused here

Na link ya 17000-18000km ii wapi?
 
Hehehe, what is it with your websites? unafungua a link inasema makala haikuonekana.

Wewe pia ukitumia akili yako unaona mmeweka lami 58% ya 86000km (changed from someone's 36000km) za Barabara. Kwa hivyo zike 9200km za mwenzako pia chocha? This exactly what I said about Tz and kudanganywa with lack of data to back
Kwanza uwe na heshima katika ubora wa data zinazotoka Tanzania, ni namba tatu kwa ubora hapa Africa, zenu ni miongoni mwa data mbovu zisizohaminika. Kuhusu hiyo link, ni hadi ulipie, ndiyo uweze kuifungua, ila ngoja nikutafutie ambayo ni free, ukisoma zaidi utafahamu logic ya hiyo statement
 
No. Siyo namba tatu ni namba mbili
upload_2018-1-7_10-36-49.png
 
Kwanza uwe na heshima katika ubora wa data zinazotoka Tanzania, ni namba tatu kwa ubora hapa Africa, zenu ni miongoni mwa data mbovu zisizohaminika. Kuhusu hiyo link, ni hadi ulipie, ndiyo uweze kuifungua, ila ngoja nikutafutie ambayo ni free, ukisoma zaidi utafahamu logic ya hiyo statement
Nina heshima kwa ubora Wa whatever little data if any from Tz. kwa sababu Mara nyingi nikama hakuna data kabsaaa.

Eti link ya kulipia? Why wasn't I prompted to pay to access it? And how can you solicit funds from a person wanting to know how many Km of paved roads are there? It's not like I'm going to remove the tarmac.

I think I understand why you came 2nd in Africa. there was very little data available to be judged from in the 1st place
 
Mbona unahangaika sana. Issue ya umeme iliisha jana. Leo tunaongelea barabara. Tuanze kazi sasa.
Nilitaka nimpe za uso huyu Livale ila kwa heshima yako ngoja nimwache.

Anatuletea data za 2013 kipindi ambacho tulikuwa tunategemea hydro power pekee, hajui tunatumia gas sa hz. data za hao wakenya wenzie anazojidai nazo pia nimezipitia ni waongo wa kutupwa.

Mjadala wa barabara ukiisha ntamrudisha aendelee kupata za uso
 
Kenya gets 2,600km of tarmac roads in two years
Tofauti kati ya Tanzania na Kenya nimkwamba, Tanzania inajenga zaidi barabara za mikoani, wakati Kenya inajenga zaidi barabara za mijini na flyovers, kama hii article inavyothibitisha.

Mwaongelea up to date data na mwaleta 2015 stuff? Na inasema Kenya has 13900km by July 2015 with an average of 1300km per year construction rate. So sahii we could be talking of what, 17000km? Ama ulimaanisha 17000km of Kenya's length of paved roads?

Then there's nowhere in that article where Tz is mentioned let alone it having between 17000-18000km of paved roads or it building more of rural than urban roads so what is the true intent of you posting that link?
 
huo mji wa Dar hapana.........outside the cbd kariakoo and upanga areas kwengine kote ni ugly sana
Masaki..Mikocheni..Mbez Beach..Oysterbay...Moroco..Victoria...Makumbusho...Kinondoni...Sinza...Nyerere road...Dar ni kubwa sana ndugu tembea uone
 
Back
Top Bottom