tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Sio 51 vs $55b tenaGDP 46 b utalibganisha na GDP 77b
Sio 51 vs $55b tenaGDP 46 b utalibganisha na GDP 77b
Utaacha ufala hapa official link mko na only 5k paved na network ya 86k
Botswana nao si haba kwenye izo mambo za Mall...Nigeria,Morocco, EgyptIn fact its between Johannesburg and London...
Kumbuka kwamba NBS ni namba tatu kwa ubora wa ukusanyaji wa data na taarifa mbalimbali hapa Afrika, yenu huko ni miongoni nchi za mwisho Africa, taarifa zenu hakuna anayeziamini, hii ni kwasababu hamjipi muda wa kuzifanyia analysis, muhimu kwenu ni kuzisambaza kwa wingi, hizo nchi ulizozitaja, kama South Africa ndiyo inayoongoza kwa ubora wa data, Kenya ni ya mwishoni kabisaEneo moja Tanzania mwajitahidi sana no kujidanganya. Hamuandiki chochote kuhusu Taifa lenu. Wengi hata hamjui ni nini mlonacho na msichonacho. Mpaka mijamaa ya serikali ikisema leo 80% ya watanzania wana umeme mwakubali tu kwani data hamna kabisaa.
Kwa kimombo, hio yaitwa propaganda. And it is very common in countries like DRC, Eritrea, Sudan, Sierra Leone, all LDCs. Go look for data on countries like South Africa, Ghana and see the ease in finding them. For developed nations like USA, Britain, Japan, you do not have to look for data, the data finds you
Na keep in mind hio no link ya the Tanzanian roads fund. Mnaweka nonexistent stats kwa Official website yenu?Hakuna ripoti ya March 10, 2017 at 10:58 rafiki nakutaka weka link yake hapa.
But 2nd Africa ni two rivers....Nigeria iko chini malls...labda Egypt ,MoroccoBotswana nao si haba kwenye izo mambo za Mall...Nigeria,Morocco, Egypt
Barabara za lami zafikia asilimia 58 | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania TodayNa keep in mind hio no link ya the Tanzanian roads fund. Mnaweka nonexistent stats kwa Official website yenu?
In ikiwa local server ya your link is inaccessible, umepataje stats zako wewe?

Izo Ndio up to date data?Juzi mh Raisi alizindua barabara ya Kwenda mererani akasema Tangu aingie Madarakani zaidi ya km 1500 zimejengwa kwa kiwango cha Lami. ..He ujenzi unaendelea kadiri wanavyopata fedha...7600 km of paved roads only ....hahaha
![]()
Embu Weka list ya Mall kubwa kabisa Zilizopo Africa ata kama nikutoka nchi Moja hadi kuifikia iyo Yenu itakua ya ngapBut 2nd Africa ni two rivers....Nigeria iko chini malls...labda Egypt ,Morocco
Toa link inayosema there are 9200km of paved roads in Tanzania, story mingi wacha. If you can't then we settle at 7600km. which is half of Kenya's 14400km and ¼ of Kenya's length of paved roads per km²Umeanza matusi sasa. Twende kwa facts dogo. Matusi hatuyataki. "ufala" ndio nini?
View attachment 670096
Barabara za lami zafikia asilimia 58 | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania TodayToa link inayosema there are 9200km of paved roads in Tanzania, story mingi wacha. If you can't then we settle at 7600km. which is half of Kenya's 14400km and ¼ of Kenya's length of paved roads per km²
Hiyo 92000 ni TANROADS nimekuambia subiri nakuletea information zote.Toa link inayosema there are 9200km of paved roads in Tanzania, story mingi wacha. If you can't then we settle at 7600km. which is half of Kenya's 14400km and ¼ of Kenya's length of paved roads per km²
Magu ameshajenga km 1500 tangu aingie madarakani sasa jumlisha 7600 alizokuta utagundua 9100 ndio sahihi kwa sasa!!Toa link inayosema there are 9200km of paved roads in Tanzania, story mingi wacha. If you can't then we settle at 7600km. which is half of Kenya's 14400km and ¼ of Kenya's length of paved roads per km²
Uhuru alitarmac 4k kms ya roads in 4 yearsMagu ameshajenga km 1500 tangu aingie madarakani sasa jumlisha 7600 alizokuta utagundua 9100 ndio sahihi kwa sasa!!
Usipende sana Kua king'anganizi
Hehehe, what is it with your websites? unafungua a link inasema makala haikuonekana.