El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
How Many Rural Tanzanians Have Power? – PesaCheck
Hii ni kuonyesha Tanzania katika infrastructure hamtokaa muikute, tukimaliza kwenye umeme tunaenda kwenye barabar. Kenya bado hata 60% hamjafika, na kumbuka kwamba Tanzania ni nchi kubwa, hiyo 68% coverage ni sawa na 110% ya Kenya. Maana yake ni kwamba, ni sawa na KE +UG tumeziunganishia stima by 100%..... Tanzania hoyeeeeeeeeeeee
36% from your electricity supplier......zingine mmepika tu