Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waendelee kucheza na media kueneza lies kuhusu best facilities in EA! ati Nairobi! Ila wajue Zanzibar ni ya moto na haina mpinzani in the best hospitality facilities in East and central Africa ! halafu wabaya kwenye huu mchezo wala si US companies bali kuna Jamaa kutoka Spain Mallorca+Barcelona! Unakuta projects zao ni +250 rooms! Pia jamaa wa Thailand Indonesia SE Asian countries! Bila kusahau Seychelles, Maldives Islands n Egyptian n UAE Hotel companies. Wapo kimya kimya!

CC: nairobae
Znz ni habari nyingine kwa sasa afrika na duniani kiujumla
 
Kunyan dose wanayopewa wameukimbia uzi kwa muda,wakirudi watakuja na maghorofa ya naikundu
halafu Afcon wamejiandaa vibaya mno yaani wako mbele kwa infrastructure! natumaini Arusha nao wataongeza push! maana nimeona KIA VIP building inapanuliwa na kuna barabara ya Mkato inajengwa kwenda Arusha kutoka KIA halafu na miradi ya Jiji Arusha! I hope itamalizika kwa wakati! Maana Afcon si mpira tu, watu wanatakiwa wa-spend ili iwe na maana!
 
Back
Top Bottom