Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

halafu Afcon wamejiandaa vibaya mno yaani wako mbele kwa infrastructure! natumaini Arusha nao wataongeza push! maana nimeona KIA VIP building inapanuliwa na kuna barabara ya Mkato inajengwa kwenda Arusha kutoka KIA halafu na miradi ya Jiji Arusha! I hope itamalizika kwa wakati! Maana Afcon si mpira tu, watu wanatakiwa wa-spend ili iwe na maana!
1774525367583.png
 
sasa unajiandaaa na fees hujalipa 🤣
 
Back
Top Bottom