Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyan dose wanayopewa wameukimbia uzi kwa muda,wakirudi watakuja na maghorofa ya naikundu
Waendelee kucheza na media kueneza lies kuhusu best facilities in EA! ati Nairobi! Ila wajue Zanzibar ni ya moto na haina mpinzani in the best hospitality facilities in East and central Africa ! Halafu wabaya kwenye huu mchezo wala si US companies bali kuna Jamaa kutoka Spain Mallorca+Barcelona! Unakuta projects zao ni +250 rooms! Pia jamaa wa Thailand Indonesia SE Asian countries! Bila kusahau Seychelles, Maldives Islands n Egyptian n UAE Hotel companies. Wapo kimya kimya!

CC: nairobae
 
Waendelee kucheza na media kueneza lies kuhusu best facilities in EA! ati Nairobi! Ila wajue Zanzibar ni ya moto na haina mpinzani in the best hospitality facilities in East and central Africa ! halafu wabaya kwenye huu mchezo wala si US companies bali kuna Jamaa kutoka Spain Mallorca+Barcelona! Unakuta projects zao ni +250 rooms! Pia jamaa wa Thailand Indonesia SE Asian countries! Bila kusahau Seychelles, Maldives Islands n Egyptian n UAE Hotel companies. Wapo kimya kimya!

CC: nairobae
Znz ni habari nyingine kwa sasa afrika na duniani kiujumla
 
Back
Top Bottom