concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
H
Our target si Kampala bali mpondwe border,
Kwa taarifa tu kutoka isaka mpaka border ya Uganda zinahitajika km400 wakati isaka kwenda tabora ziko zinajengwa.
Lakini tayari sisi tushafanya negotiation na Congolese Ile reli ya musongati ipitilize mpaka drc , mind you reli ya Burundi ni kama yetu sababu pamoja na mengine yote nickel yao lazima iwe processed Tanzania kwa kiwanda ambazo serikali inaumiliki wa 16%.
Burundi wanajenga 78km ambazo zote tender na usimamizi uko chini ya trc Tanzania .
Kumbuka kutoka kalemie kuna reli inafufuliwa nayo trc wako kule🤣🤣🤣🤣. Siri mtakuja shtuka mmechelewa
Hata wakati wa EACOP mlisema hivyo ila ilikuwaje?Hapo hakuna kitu