LetterTo MyFather
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 308
- 666
Geneva of Africa
Talk of being obsessed with KenyaInaonakana baadhi ya Watanzania katika hii thread wanajali zaidi kuhusu yanoyotekea nchini Kenya kuliko Tanzania. Ninapo pitia thread za Jukwa la siasa siwaoni vifaranga wa Magufuli Kama Annael na ichoboy. Lakini nikifika katika sehemu ya Kenya wanaonekana usiku kucha.
1. Tutake ladhi. Kutuita vifaranga hili ni tusi kubwa. Kwa watu wenye busara hawawezi kukutilia maanani point zako maana tayari ni za kijinga.Inaonakana baadhi ya Watanzania katika hii thread wanajali zaidi kuhusu yanoyotekea nchini Kenya kuliko Tanzania. Ninapo pitia thread za Jukwa la siasa siwaoni vifaranga wa Magufuli Kama Annael na ichoboy. Lakini nikifika katika sehemu ya Kenya wanaonekana usiku kucha.
What happened to the other handle Annael?Geneva of Africa
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa hiyo unataka kuwapangia cha kupost?Inaonakana baadhi ya Watanzania katika hii thread wanajali zaidi kuhusu yanoyotekea nchini Kenya kuliko Tanzania. Ninapo pitia thread za Jukwa la siasa siwaoni vifaranga wa Magufuli Kama Annael na ichoboy. Lakini nikifika katika sehemu ya Kenya wanaonekana usiku kucha.
Aah... There you are. Just stick with it. Ama unataka kufikia the required number of posts per day aje?1. Tutake ladhi. Kutuita vifaranga hili ni tusi kubwa. Kwa watu wenye busara hawawezi kukutilia maanani point zako maana tayari ni za kijinga.
2. Kuna mambo ya local na international. Kila mmoja anafanya kwa wajibu wake. Wewe umejiunga karibuni tu. Fuatilia thread za Annael utazielewa vizuri.
3. Wewe kwa muono wako unahoja ya maana sana kutuzidi sisi? Kumbuka hii thread imeweka heshima kubwa baina ya Watanzania na Wakenya. Hakuna dharau za kipuuzi puuzi. Kama tumefanikiwa kwa hilo hatuna budi kupongezwa.
4. Mambo ya kujadili watu binafsi ni utoto tulishaucha miaka mingi iliyopita. Naona mwenzetu bado unaendekeza utoto. Tunajadili issues.
1. Tutake ladhi. Kutuita vifaranga hili ni tusi kubwa. Kwa watu wenye busara hawawezi kukutilia maanani point zako maana tayari ni za kijinga.
2. Kuna mambo ya local na international. Kila mmoja anafanya kwa wajibu wake. Wewe umejiunga karibuni tu. Fuatilia thread za Annael utazielewa vizuri.
3. Wewe kwa muono wako unahoja ya maana sana kutuzidi sisi? Kumbuka hii thread imeweka heshima kubwa baina ya Watanzania na Wakenya. Hakuna dharau za kipuuzi puuzi. Kama tumefanikiwa kwa hilo hatuna budi kupongezwa.
4. Mambo ya kujadili watu binafsi ni utoto tulishaucha miaka mingi iliyopita. Naona mwenzetu bado unaendekeza utoto. Tunajadili issues.
Anna ni mpuzi wa kiwango cha PhD. Threads zake zote ni za uchochezi na kuhusu Kenya, Kenya, Kenya..... Kenya Wins all the time.Kama ungetaka kujadili issues basi ungejadili jinsi ambayo Magufuli anaiharibu nchi. Karibu katika Jukwaa la Siasa ujionee na tujadiliane.
Sasa wewe ndiye unanichagulia cha kujadili? Ninaongea tu kwa kukustahi maana bado mgeni. Nimekueleza fuatilia comment zangu since I joined JF. Wewe anzisha thread kokote yenye maana nitatia maguu. I don't discuss people my friend. Ukileta thread ya kumjadili mtu sitatia neno.Kama ungetaka kujadili issues basi ungejadili jinsi ambayo Magufuli anaiharibu nchi. Karibu katika Jukwa la siasa ujionee na tujadiliane. Jukwaa la Siasa
We done with you. Tumeshamaliza kila kona tumepiga. Hakuna jipya from Kenya. Kwa kuwa mmeanza kuwa na heshima tutaanza kuongea. Mkileta dharau tunawabadilikia. Show respect utaona uzuri wetu.Anna ni mpuzi wa kiwango cha PhD. Threads zake zote ni za uchochezi na kuhusu Kenya, Kenya, Kenya..... Kenya Wins all the time.
Hizo Nchi zote hapo hamna yeyote kwenye list ya LDC ama nimedanganya?
Kwa hiyo list point out any LDC country.
Don't be afraid to reason & take in facts
ni ukweli au sio kweli?childish comment
Low iQsKama ungetaka kujadili issues basi ungejadili jinsi ambayo Magufuli anaiharibu nchi. Karibu katika Jukwaa la Siasa ujionee na tujadiliane.
Hizo Nchi zote hapo hamna yeyote kwenye list ya LDC ama nimedanganya?