Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kilimani area roads
9a78bb3f4748773c6087697b5f8cb718.jpg
da5b8ee731b32bd1a5642ee1ce204507.jpg
6ba9fd7a70879441b3b83b7277194a0d.jpg
84a7882e24a12796233ca0aa22827e1d.jpg
737d01083406b4fc10d3bb8e24d064b3.jpg
07512993b909578b66150194d11f2c99.jpg

Kwa nini Barabara chafu hivi, Lami inatakiwa iwe nyeusi na marking ziwe njano na nyeupe, Lakini Kwa kuwa maeneo mengine tope na hamna lami , matokeo yake magari yanakuja kupaka uchafu wa maeneo yalipotoka (yasiyo na lami na penye tope) kwenye barabara nzuri. Typical Third World City.
 
So lami za Dar vile zimejaa white sand na pia kuparara ndio unalinganisha na hiyo!?
 
We have money...that's why we are the leading tourists in bongolala
give me the official link nasubiria kua kenya ndio inaongoza watalii tanzania na usiponipa hio link wewe ni mke wangu natangaza rasmi 😀😀😀😀😀

yani watalii wanaotembelea zanzibar ni wengi sana kuliko watalii kenya nzima😛😛😛

pesa ya kupambana na njaa mumekosa mutakua na pesa ya kutalii??? akili ndogo tu
huku hakuna hoteli ya 10$ kama za amboseli na masai mara huku kiwango cha chini sana ni 200$ mpka 10,000$ per night
 
Back
Top Bottom