Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

serengeti
BA97139E-1869-4B0C-8A79-BB966A6B632E.jpeg
 
Haya basi 2018 ndio hiyo wapi Bombardier, dreamliner, SGR/ bullet train, superhighway, Bagamoyo port na pipeline?
kwavile gari moshi yenu mlijenga kwa miez mitatu??
unaulizia pipeline ya hoima to tanga, where is pipeline ya lamu to lokichar????😀😀😀😀😀😀
bagamoyo 2020 inaanza kupokea meli ya kwanza the biggest port in africa, pressure itakuua bure😛
 
Haya basi 2018 ndio hiyo wapi Bombardier, dreamliner, SGR/ bullet train, superhighway, Bagamoyo port na pipeline?
Tuliaaaaaa, usipaparike, andaa passport uje ujionee dunia ilivyo this year, acha kujifungia huko Kibera, utapitwa na mengi sana. The country is moving, is moving steadly.
 
Nasikia huyu CS amebakishwa katika baraza la mawaziri, kweli Kenya hakuna watu, huyu alipaswa kutimliwa kipindi kile cha kugombania bomba la mafuta, alikuwa anazungumza urongo mtupu, kichwani hajui kitu huyu jamaa kabisa
usiwashangae kichwani kumejaa maji na uongo ni sehemu ya maisha ya mkenya bahati mbaya zaidi dunia ya leo utamdanganya nani???😀😀😀😀
 
We're in 2018, more than 50yrs after independence..... Some people are still living in an ldc country. The world is unfair.
 
Back
Top Bottom