Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is he the same Bongolala who didn’t know what a franchise is?…🤣🤣
IMG_5343.png
 
Tender sio kwa Adani tena!?

Kaeni chonjo usikute tenda imeenda kwa kampuni ya Mauritius huko 😅😅... Kunyaland imegeuka muembe wa uwani wa TZ.
Tender zote kubwa sahii ni Mchina. Adani hawezi fika timeline ya serekali. Usishangae CRBC akipewa hii kama Talanta na Rironi - Mau summit
 
Tender zote kubwa sahii ni Mchina. Adani hawezi fika timeline ya serekali. Usishangae CRBC akipewa hii kama Talanta na Rironi - Mau summit

Mchina hana interest na airport. Hela ya kulipa hamna. Hiyo airport itakuwa financed na kampuni ya hapa hapa Afrika. Na ndio hiyo kampuni italeta mkandarasi wa kujenga pia .
 
Back
Top Bottom