Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,702
- 107,146
tulia kwanza ashinde tam 2huyu naye anaropoka ati standard media! Iliyonunuliwa ni Nation Media group!
jamaaa anapewa makavu apo apo 🤣 🤣 , sasa wadada wanataka wanaume wa tanzania yeye anamindalitaka kummeza huyo dada!
hebu elezea vizuri inapita wapi na kutoka wapi mpaka wapi?Jamani nauliza nan kaona commuter train mpya ya AFCON pale kamata? bonge la treni atakaeweza kuipiga picha ailete apa ni bonge la treni
zila zinazunguka town zinaenda mpaka PUGUhebu elezea vizuri inapita wapi na kutoka wapi mpaka wapi?
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/2032118288776360075?s=20
kwahio ata akiuza leo ana profit 23%
wamenunua rollingstocks mpya?zila zinazunguka town zinaenda mpaka PUGU