huyu naye anaropoka ati standard media! Iliyonunuliwa ni Nation Media group!
mbona inakaa kijua kali?Continue feeling sorry. SGR ndio hio Kisumu preparing for launch😂. In the next 5 years mtakua mna skia jina Kenya mnajificha. Kenya is about to widen the infrastructure gap with the rest of East Africa tremendously. Hata slums za kupost mtakosa
View attachment 3557022
Mtu ashakwambia anataka wanaume wa tanzania, wewe bado unauliza maswali useless 🤣 🤣
View: https://www.tiktok.com/@_ianmarkavelitv/video/7615682015471373588?is_from_webapp=1&sender_device=pc
tulia kwanza ashinde tam 2huyu naye anaropoka ati standard media! Iliyonunuliwa ni Nation Media group!
jamaaa anapewa makavu apo apo 🤣 🤣 , sasa wadada wanataka wanaume wa tanzania yeye anamindalitaka kummeza huyo dada!
hebu elezea vizuri inapita wapi na kutoka wapi mpaka wapi?Jamani nauliza nan kaona commuter train mpya ya AFCON pale kamata? bonge la treni atakaeweza kuipiga picha ailete apa ni bonge la treni
zila zinazunguka town zinaenda mpaka PUGUhebu elezea vizuri inapita wapi na kutoka wapi mpaka wapi?