Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisii town looking good
IMG_8581.jpeg
 
Baada ya kupokea kichapo ya global hotel chains umeruka kwa kwa number of stars. 😂 😂 😂 Hata ukiongeza ten unknown brands, bado haifiki half of what is in Nairobi.
Nairobi isn't even a tourist place to begin with
 
Yet it receives more tourists than any other place in East Africa.
Wakienda wapi? 😂😂 The only tourist attraction in Nairobi is Nairobi NP ambayo hata 100k international visitors kwa mwaka haipokei in real sense, au unataka kusema giraffe manor nayo is worth mentioning here! 😂😂
 
Back
Top Bottom