Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Huko huko ila Bado liko kwenye explorationHili bonde si ndipo kunaaminika kuna mafuta?
Hakuna, kuna storey buildingsDarislum kuna gorofa?
wakenya ni kama pregnant women, wanakua na kelele wakati wanajua kuna mda wa kujifungua unakujaWalishangilia walivyoongopewa eti wanawekewa seat za kisasa, jamaa plan zao mbovu sanaa, yn wamekopa mabilioni ya pesa kujenga uwanja alafu finalization inawashinda.
kazi yao serviceproudly maade Tanzania! BTW wale wa ku-service ferries zetu pale Mombasa haajawahi kujenga meli ya quality ya Mv New Mwanza!