stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,859
- 15,767
kwa kwel uganda toka wagundue mafuta sio kwa fujo izi, na hata hawajaanza kuuza juzi wametuma maombi kuhost wenyewe 2031Mimi binafsi naona wanaweza kutoboa haswa ukizingatia fedha ya mafuta inakuja! Ni kujipanga tu na kuweka nia!
Vinyang'au kama viakina Teargass lazima vielewe kuwa mambo yamebadilika😎kwa kwel uganda toka wagundue mafuta sio kwa fujo izi, na hata hawajaanza kuuza juzi wametuma maombi kuhost wenyewe 2031
Na ndio kinachowapa kujiamin!kwa kwel uganda toka wagundue mafuta sio kwa fujo izi, na hata hawajaanza kuuza juzi wametuma maombi kuhost wenyewe 2031
Freedom which? You think hatujui wats going on
View: https://www.tiktok.com/@rainaffirm254/video/7614398886332976404?_r=1&_t=ZS-94VUJtpWOVZ
Hasira za nn sasa? subiri maafa ya magari kusombwa hapo Express Highway! Nakataa si natural disaster bali ni miundombinu mibovu!Keep hiding behind natural disasters like your poor country is immune to it…..the difference is Kenyans don’t scoop that low. We are civilized.