Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,887
- 103,753
More than that upper zone kabete,it was over 200mm Saturday early morningPunguza upumbavu we mzee, over 70mm of rain in a few hours is very heavy rain which is disastrous in any place.
Miundombinu mibovu!More than that upper zone kabete,it was over 200mm Saturday early morning View attachment 3555352
www.instagram.com
Timu ya ndanda ilianzia ndanda baadae ikachukuliwa na mkoa baada ya mfadhili ndanda drinking water kushindwa kuiendeshaTimu ya Ndanda huwa inatumia uwanja wa Nangwanda Stadium ambao upo Mtwara mjini. Hii Ndanda haipo Mtwara mjini, ipo wilaya ya Masasi lakini nfani ya mkoa wa Mtwara
Japokuwa timu ina jina la Ndanda ila wao wapo Mtwara mjini, sijajua sasa kama hiyo timu originally inatokea huku
Huyu akiwa Tz anasifu akitoka nje anabadilika tumemzoeainaonekana hii SGR ya tanzania anaipenda sana au inamuumiza kichwa 🤣 🤣
View attachment 3555481
Hivi samia ashawahi ongelea SGR Ukunduni?inaonekana hii SGR ya tanzania anaipenda sana au inamuumiza kichwa 🤣 🤣
View attachment 3555481
Yani nyumbani kwako kuna pizza halafu uanze kutamani githeri ya jirani yako 😂😂Hivi samia ashawahi ongelea SGR Ukunduni?
Nairobi iko na POOR INFRASTRUCTURE. Mnatetea ujinga tuMore than that upper zone kabete,it was over 200mm Saturday early morning View attachment 3555352