Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1772628047633.png

kuna mtu bado ana wasiwasi na target yetu ya $8B mwaka huu 🤣 🤣 🤣
 
Apo hata mkataba wa primia ligi na visit tanzania haujaanza, wakenya mtavaa jezi za EPL zenye visit tanzania sku sio nyingi
 
Museven si mjinga! Ana intelligence ya hali ya juu kuona kama Ukunduni wanaweza kuji-finance au la!Kja dar kimyakimya aka-sign MOU kuhusu SGR kupita Tanzania!
m7 mtu wa maaana kabisa, kwanza aliishi tanzania, kuna sku alikua anatoa speech anavotaja mikoa ya tanzania sasa 🤣🤣 kama mbongo, infact anagonga ngeli
 
Back
Top Bottom