Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani kakwambia biashara inafanyika kwa kuangalia jiografia ya eneo peke yake? Umeshajiuliza kutoka East Afrika Hadi west Afrika kunafikika vipi na kwa miundombinu gani?

Hali ya usafiri na usalama Hadi kufika hapo unajua ikojee? Kuna namna yoyote ya kufika hapo? Obvious hiyo ni ndoto ambayo kutokea sio Leo Wala kesho! Na it's not economic viable.

Ila huku south and Central tayari miundombinu Iko on place. Barabara na Reli zipo in full operational na some improvements is on going on now.

You know nothing about logistics and global trade.
Kwanza build a deep port like Lamu to attract newly modern larger cargo ships… ama Bagakibogoyo iko ready ?..🤣🤣🤣🤣
 
Wachawi watalia kweli kweli.

1000204867.jpg
1000204865.png
1000204866.jpg
1000204868.png
 
Soon itakua capital of the world pale UN itamaliza kuhamisha baadhi ya ofisi zake muhimu hadi Nairobi. Hapa naona ukilia damu

1772579872004.png

"Soon itakua capital of the world pale UN itamaliza kuhamisha baadhi ya ofisi zake muhimu hadi Nairobi"
 
Back
Top Bottom