Geza Ulole si alisema apa mnabebwa ufala haya sasa
View: https://x.com/KenyanSays/status/2029031687221338547?s=20
m7 mtu wa maaana kabisa, kwanza aliishi tanzania, kuna sku alikua anatoa speech anavotaja mikoa ya tanzania sasa 🤣🤣 kama mbongo, infact anagonga ngeliMuseven si mjinga! Ana intelligence ya hali ya juu kuona kama Ukunduni wanaweza kuji-finance au la!Kja dar kimyakimya aka-sign MOU kuhusu SGR kupita Tanzania!
hawa wezi wanaiba kwa mpango hadi raha 🤣🤣🤣
walizan 11B saaahv wamefika 1 trillion 🤣
View: https://x.com/DrRoselynAkombe/status/2028904456566272433?s=20
apo kuna watu wazito sio poa, kama 11B alikua joho sasa hii 1 trillion apo watu wazito kinoma, kwa kifupi acha wajipigie tuAnaegonga hii maza CAG ya Kenya ana roho ngumu sana.
Wakenya ni kama Wanyama wa mwituni 🚮
Wachawi bado wanashangilia Museveni kuenda Tanzania 😂😂
View: https://x.com/i/status/2029114786328527200
unategemea mimi nikujibu? kweli?Why UDART anatolewa hiyo route na kupelekea kwingine?