Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
ni mda sjaona daily dose, however Kwa mkapa nna news siti zinangolewaWatu wamenyamazihwa humu!
amna nchi apo, kama imefika stage mtu anaiba 1% ya GDP unategemea nn, inshort kila mtu anawahi kujichukulia anachoweza kubeba mapema before final fateSGR itajengwa kweli?
Fees huwa hairudi ukijitoa!kwan ulikua una expect waweke vipya 🤣 🤣 , si tulishasema wanafanya color mixing, hii project inatumika tu kuclean money no wonder mpaka sasa hata fees hawajalipa
NON REFUNDABLEFees huwa hairudi ukijitoa!
Fees sio issue sana as kenya ni viwanja 2 tu ndo vitatumika, which can be replaced by FUMBA na dodoma ama kimoja tz na kingine ugandaFees huwa hairudi ukijitoa!
ni mda sjaona daily dose, however Kwa mkapa nna news siti zinangolewa
Namaanisha GOK inajua haiwezi ku-deliver so wana-avoid risks!Fees sio issue sana as kenya ni viwanja 2 tu ndo vitatumika, which can be replaced by FUMBA na dodoma ama kimoja tz na kingine uganda
sku zote wazungu weusi sio wa kuwaamini, wamekaa kama wanaijeria wezi wezi tuNamaanisha GOK inajua haiwezi ku-deliver so wana-avoid risks!