joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Tatizo linalokusumbua wewe ni ushamba wa kutokutembea nje ya nyumba za Kibera na Korogocho, wewe unadhani kwanini tunapata pesa mara nne zaidi yenu, robo ya revenue itokanayo na utalii wetu inatokana na utalii wa ndani, hiyo ni karibu sawa na mapato yenu yote ya utalii, yaani jumlisha mapato ya utalii wenu wa ndani pamoja na utalii wa nje.Sisi tunakuza domestic tourist iyo DSR yenu walalas wamezoea Hanna domestic tourist kabisa...sisi...Mombasa wakati wa holiday utawaona ..wakikuyu wajaluo wasomali.wakamba wamijikenda.wa nandi...kwa beach
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hizi thread zinanipaga raha sana kusoma.. Kama mbongo nadhani facts ziwe facts.. Nairobi imetuzidi sana kimiundombinu haswa barabara na reli.. Watanzania waliofika ama kuishi Nairobi watakubaliana nami kwa hili. Cha msingi ni kuwa kwa sasa Dar nayo inajitahidi kukechi up ingawa naona kwa kiasi kikubwa ni majengo tu yanapanda lakini barabara na miundombinu mingine kama ya barabara (including public transport.. And yes najua kuhusu BRT), intaneti ya mwendo kasi N.K.vinasua sua sana..
Karen inamezwa na Mbezi beach pekeehizo zote combined inamezwa na Karen area peke yake
Oooo kwaivyo in tz jengo ikifika 10 floor ni city
We nyamba myamba 2where is
where is the official link sasaππππ
Hivi ile picha mnayoitumia hapa ya Dar kutoka far above kuonyesha kuna slums, mbona hatukulalamika?I can see mumeenda above the clouds ndio Nairobi isionekane......satellite view.
sasa leta a visible aerial view of Nairobi
Nimemskia senge mwezako kasema ivohivi wewe unajua vigezo vya mji kuwa city.?
Hivi ile picha mnayoitumia hapa ya Dar kutoka far above kuonyesha kuna slums, mbona hatukulalamika?
hahahhaa hao ndio wakenya vilazaπππππdah! hilo daraja limenifurahisha sana.π±π±ππ usirudie kuliweka ndugu.
asante kwa kilio mubasharaππππthanks for reposting for the 2000th time
hizo koroboi wangesaidia hata wana kibera wanalala giza.ππhahahhaa hao ndio wakenya vilazaπππππ
Picha ya kwanza na ile ya pili, sio Dar, lete ushahidi kuthibitisha hii ni Dar, hakuna land mark yoyote ya Dar hapo, picha ya tatu hiyo ni Dar, lakini subject ya picha hii ni hilo jengo refu hapo, unaweza kuliona na kulifanyia tathmini, lakini zile nyumba kwa mbali, kinachoonekana ni bati za nyumba pekee huwezi kufanya analysis yoyote ile, na picha mbili za mwisho, zimepigwa kutoka mbali hewani huwezi kutofautisha kati ya nyumba ya ghorofa na kawaida, kwanini msipige picha mtu akiwa chini ardhini kama zile za Kibera zinaxowekwa ili tuone aina za nyumba kama ni tofali au sheet, tuone drainage system, na roads, mnaficha nini?dar is slum
Huko Mbuzi beach na Mkochini kunanini cha maana?Ndinda ukipata time piga picha Mbezi beach,mikocheni bahari beach utume huku, najua sehemu kali ziko mob Ila hawa wazembe wanaleta Maneno ya khanga