Average Tanzanian in Dar is a slum bado anatumia bundles za simu, hafanyi shopping kwa supermarket, nyumba yake haiko accesible, jikoni bafu na choo zote ziko nje. Income inequality is worse in bongoslum, hua mnaropokwa until mupigwe na facts.
1. Average Tanzanian bado anatumia bundles za simu
There's nothing wrong with that. Kama ulikuwa hujui kutumia Wi Fi sio utajiri, maana Wi Fi ina cheaper bundles kuliko data. Mfano kwa Tanzania ukinunua 5G router ya TSh 100K unalipia 70,000 per month unapata unlimited internet, wakati kwa mobile data ni only 35GB for the same money
Wengi wakigundua kuwa bundles za simu ni expensive ndio wanapata wazo la kununua pocket wifi, router au fiber
Hafanyi shopping supermarket
Kwa sababu Tanzania ina best local markets in the region. Have you seen markets across Tanzania? Kuna everything. Supermarkets huwa zina vitu vya viwandani which are more expensive and so unhealthy. Kwa nini mtu uhangaike kununua maharage ya supermarket ambayo yako packed kwa 5000/= wakati unaweza kupata maharage fresh kwa TSh 2000/= per kilogram
Nchi za Magharibi wananunua vyakula supermarket kwa sababu ni cheaper kuliko organic foods, Watanzania wananunua vyakula fresh kwa sababu ni cheaper kuliko packaged ones from supermarkets
Vitu vingine vya supermarkets kama sabuni, dawa za kufanyia usafi, vyombo nk vinapatikana kwenye neighborhoods za Tz, sio lazima supermarkets. Huku Tz watu wanafungua biashara mitaani kwao at cheaper price, neighborhoods zetu huwa na huduma zote za muhimu sio lazima uende supermarket
Tanzania watu huenda supermarkets wakijisikia ila sio necessary wakati wanaishi nchi ambayo services ziko spread out everywhere
The rest ulivyoandika ni uongo