Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wanapitia maisha magumu and other lies. 😂😂😂

Image
Tukisema wakenya wanapitia maisha magumu huwa tunaangalia vitu kama

VERY BIG FILTHY AND DIRTY SLUMS
FB_IMG_1771514884615.jpg

.
.
UKAME ULIOPITILIZA
Screenshot_20260218-225831.png

Akalapatan and her family.jpg.webp

.
.

NJAA KALI
Screenshot_20260222-151728.png

.
.
UGUMU WA KUMILIKI ARDHI KENYA UKILINGANISHA NA TANZANIA
Screenshot_20260222-151558.png

.
.
GHARAMA KUBWA ZA MAISHA KWENYE MIJI YENU
Screenshot_20260222-151221.png

.
.
EXTREME CAPITALISM
Screenshot_20260222-152145.png

And so many other things. Kenya ina GDP kubwa kuliko Tanzania lakini average Tanzanians wana maisha mazuri kuliko average Kenyans
 
Tukisema wakenya wanapitia maisha magumu huwa tunaangalia vitu kama

VERY BIG FILTHY AND DIRTY SLUMS
View attachment 3547263
.
.
UKAME ULIOPITILIZA
View attachment 3547264
View attachment 3547266
.
.

NJAA KALI
View attachment 3547267
.
.
UGUMU WA KUMILIKI ARDHI KENYA UKILINGANISHA NA TANZANIA
View attachment 3547268
.
.
GHARAMA KUBWA ZA MAISHA KWENYE MIJI YENU
View attachment 3547269
.
.
EXTREME CAPITALISM
View attachment 3547271
And so many other things. Kenya ina GDP kubwa kuliko Tanzania lakini average Tanzanians wana maisha mazuri kuliko average Kenyans
Average Bongolala hawezi manage kuishi Kenya, lakini an average Kenyan can live comfortably in bongoslum. Your average is not our average.
 
Average Bongolala hawezi manage kuishi Kenya, lakini an average Kenyan can live comfortably in bongoslum. Your average is not our average.
Average Tanzanian anaishi vizuri sana nchini kwake Tanzania na average Kenyan anaishi hovyo nchini kwake Kenya
Na in real sense kwa sababu Kenya iko na high income inequality kuliko Tanzania basi tunajua average Kenyans own nothing there. They're just surviving
 
Back
Top Bottom