Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1. Average Tanzanian bado anatumia bundles za simu
There's nothing wrong with that. Kama ulikuwa hujui kutumia Wi Fi sio utajiri, maana Wi Fi ina cheaper bundles kuliko data. Mfano kwa Tanzania ukinunua 5G router ya TSh 100K unalipia 70,000 per month unapata unlimited internet, wakati kwa mobile data ni only 35GB for the same money
Wengi wakigundua kuwa bundles za simu ni expensive ndio wanapata wazo la kununua pocket wifi, router au fiber

Hafanyi shopping supermarket
Kwa sababu Tanzania ina best local markets in the region. Have you seen markets across Tanzania? Kuna everything. Supermarkets huwa zina vitu vya viwandani which are more expensive and so unhealthy. Kwa nini mtu uhangaike kununua maharage ya supermarket ambayo yako packed kwa 5000/= wakati unaweza kupata maharage fresh kwa TSh 2000/= per kilogram
Nchi za Magharibi wananunua vyakula supermarket kwa sababu ni cheaper kuliko organic foods, Watanzania wananunua vyakula fresh kwa sababu ni cheaper kuliko packaged ones from supermarkets

Vitu vingine vya supermarkets kama sabuni, dawa za kufanyia usafi, vyombo nk vinapatikana kwenye neighborhoods za Tz, sio lazima supermarkets. Huku Tz watu wanafungua biashara mitaani kwao at cheaper price, neighborhoods zetu huwa na huduma zote za muhimu sio lazima uende supermarket

Tanzania watu huenda supermarkets wakijisikia ila sio necessary wakati wanaishi nchi ambayo services ziko spread out everywhere

The rest ulivyoandika ni uongo
Bongoslum wifi ni ya matajiri ju infrastructure imewafikia, average bongolala bado hajafikiwa with what is supposed to be a necessity. If that is not inequality, tell me what is?

Supermarkets are expensive in bongoslum ju nyingi zinapatakina kwa matajiri, maskini hawana access ya big supermarket brands ju they don't have the spending power due to poor pay, again if that is not inequality tell me what is?

Uongo gani, majority of the population in Dar is a slum choo, jikoni na bafu ziko nje. 😂 😂 😂
 
Average Tanzanian in Dar is a slum bado anatumia bundles za simu, hafanyi shopping kwa supermarket, nyumba yake haiko accesible, jikoni bafu na choo zote ziko nje. Income inequality is worse in bongoslum, hua mnaropokwa until mupigwe na facts.

Figure 2.4. Incomes are very unequal across countries
He posts with emotions and blind patriotism, you respond with facts … daaamn!…now that’s what we call a TKO! 🤣🤣
 
Kumbe uwanja uko na running track 🤣🤣🤣🤣🤣… ako wapi Watchie Best 007 … tag him please..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
and we love it for multipurpose use as we clearly know we don't have clubs that can fill up the stadium in Arusha! We don't want the stadium to be rendered idle!
 
and we love it for multipurpose use as we clearly know we don't have clubs that can fill up the stadium in Arusha! We don't want the stadium to be rendered idle!
Kwani kuna any athletic event mumewai jaza uwanja of late. 😂 😂 😂 Nyinyi ni watu wa Simba na Yanga pekee, hakuna any other sport event munaweza jaza uawanja.
 
Back
Top Bottom