Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,199
- 107,799
hakuna alietembeza bakuli and ishaelezewa na government spokeperson, infact we are building 3 new stadiums
Ulitaka Tanzania iwaombe Kenya msaada au?
🤣🤣🤣🤣Atiii "a new airport in Nairobi? Hiyo nilisikianga kitamboooo wakati Kibaki yuko kwa office.The render shows a tiny airport plus how do you compete with New Airports coming up in Kigali, Addis or Nairobi..( in case you missed the memo, this May will be the breaking ground for a new state of the art Airport in Nairobi . We waited for Addis to start first just to beat their look).
watu wanagombania maji uku 🤣 🤣 Geza Ulole
View: https://x.com/Kibet_bull/status/2024143287330742713?s=20
Wachawi, uwivu nayo munapenda sana, ndio maana hua hamuendelei.True 100%.
Kiuhalisia, nchi nyingi zilizo tuzunguka zinaujinga mwingi sana na maendeleo ya mitandaoni.
NI hii street moja tu naona ikuioneshwa na hii street ndio inakuwa regarded as a city.
Nje ya hii street Adis hamna kitu na nje ya Adis Ethiopia hamna kitu, same kama Kenya.
Sisi tuna matatizo yetu lakini ile design yetu ya equality ya kisoshalist imefanya kila mahala unaishi. Nje ya Adis Ababa sijawahi kuona wala kusikia any other towns, bora Kenya wana 2 to 3 towns.
Can you state facts to support your statement?ndio maana hua hamuendelei.
hata mimi nashangaa ukiingia google maps kuna slums za kufa mtu huko! Halafu huwezi amini ukiacha uwanja wa ndege Bole Ethiopia haina uwanja mwingine wa international! in reality Ethiopia inategemea internatinal routes to stay afloat! Ni aibu aisee!
View: https://youtu.be/-GLczz-0bi0?si=AFo4iqMXl9RenFDe
Hebu angalia hii news halafu angalia hivyo viwanja husika! Utacheka!
Ethiopian Airlines to Inaugurate Three New Domestic Airports and Commence New Passenger Services
Addis Ababa, 18 February 2026
Ethiopian Airlines, the largest network operating carrier in Africa, is delighted to announce its plan to inaugurate three new domestic airports and launch passenger flights to the destinations by mid-April 2026. The new airports are located in Negele Borena, Gore Metu, and Debre Markos.
Ethiopian plans to operate thrice weekly passenger flights to each of the destinations. The addition of the 3 destinations increases Ethiopian Airlines’ domestic network to 26, further boosting air connectivity throughout the country.
Commenting on the achievements, Ethiopian Airlines Group CEO Mr. Mesfin Tasew said, “The inauguration of these three new airports, along with the commencement of passenger services, represents a major milestone for Ethiopian Airlines and for the nation as a whole. This expansion reflects our steadfast commitment to enhancing connectivity within Ethiopia and serves as a powerful driver of economic growth and regional development. Our mission is to build an inclusive and integrated air transport network that empowers communities, unlocks economic opportunities, and supports national development by making safe, reliable, and efficient air travel accessible to all.”
As Ethiopian Airlines prepares to integrate these three new destinations into its network, its focus on modernizing the domestic travel experience remains firm, highlighted by infrastructure renovation and enhancement. It is to be recalled that the airline inaugurated Yabello airport as the 23rd domestic destination in 2025.
About Ethiopian
Ethiopian Airlines Group (Ethiopian) is a true African success story, transforming a visionary dream into a globally renowned reality for nearly eight decades. Operating flights to more than 160 domestic and international passenger, and cargo destinations across five continents, Ethiopian bridges the gaps between Africa and the world. Emphasizing passenger comfort and environmental sustainability, Ethiopian utilizes ultra-modern aircraft such as Boeing 737s, 777s, 787s, Airbus A350-900, A350-1000 and De Havilland Q400.
Ethiopian, the Star Alliance member airline, champions in various coveted awards including Skytrax’s ‘Best Airline in Africa Award’ for eight consecutive years, APEX ‘Best Overall in Africa’ award and ‘Leadership in Connecting Africa through Transport’ Award among others. Ethiopian aims to further excel in its success through a strategic plan dubbed ‘Vision 2035’ and become one of the top 20 most competitive and leading aviation groups in the world. Embracing a Pan-African spirit, Ethiopian is pursuing multi-hub strategy through hubs in Lomé, Togo with ASKY, in Lilongwe, Malawi with Malawi Airlines, in Lusaka, Zambia with Zambia Airways, and in Kinshasa, Democratic Republic of the Congo (DRC) with Air Congo.
For more information, visit our website at www.ethiopianairlines.com email us at CorporateCommunication@ethiopianairlines.com , or call us at (251-11)517-8913/8165/8907.
View: https://youtu.be/Uix1iMZ6big?si=qMevKcV6U_QgfVn5
View: https://youtu.be/X2WJ3QKIMlY?si=t0RvJdjkNy6NmyjZ
View: https://x.com/AddisuAregaK/status/1933143333536510432
The fact is Ethiopia is developing faster than bongoslum.Can you state facts to support your statement?
Hivi huwa mnadhani mkiandika GDP Watanzania wanajali au kuumia! 😂😂😂Uwivu itwaua, Ethiopia ilishawapita kwa GDP na very soon wanawapita kwa per capita. Nyinyi endeleeni na huo uwivu wenu kama kawaida.
Hakuna nchi haina challenges, but that does not mean they are not progressing or working on them. Bongoslum hua munajifanya nikama nchi yenu iko perfect na pia nyinyi muna mashida zenu, kazi yenu nikupoint mashida za wengine so as to make you feel better. 😂 😂 😂 Mtu mwenye wivu ndio hufocus on negativity pekee, typical bongolala behavior.Hivi huwa mnadhani mkiandika GDP Watanzania wanajali au kuumia! 😂😂😂
GDP isiyoonekana kwa ground ni ya kazi gani?
Mara ngapi Uhuru amewaambia huwezi kula GDP na hamsikii!
Hao kila mwezi mamia wanakamatwa Tanzania kwenye malori kama wahamiaji haramu.
Hii ndio tabia yenu WakenyaMtu mwenye wivu ndio hufocus on negativity pekee
Ni lini umewahi kufocus na Positive za Tanzania? 😂😂😂Hakuna nchi haina challenges, but that does not mean they are not progressing or working on them. Bongoslum hua munajifanya nikama nchi yenu iko perfect na pia nyinyi muna mashida zenu, kazi yenu nikupoint mashida za wengine so as to make you feel better. 😂 😂 😂 Mtu mwenye wivu ndio hufocus on negativity pekee, typical bongolala behavior.
Huo ndio kweli nenda googlemaps uone! Hawatofautiani na kwenyu Ukunduni! Sisi tupo kimya tukiendelea kujenga miundombinu. Viwanja wa Kyabajwa na Serengeti ni good strategic investments!Uwivu itwaua, Ethiopia ilishawapita kwa GDP na very soon wanawapita kwa per capita. Nyinyi endeleeni na huo uwivu wenu kama kawaida.
Ni pumbavu tu ndio anaweza compare Ethiopia na bongoslum when it comes to aviation industry. They are miles and miles ahead of you.Huo ndio kweli nenda googlemaps uone! Hawatofautiani na kwenyu Ukunduni! Sisi tupo kimya tukiendelea kujenga miundombinu. Viwanja wa Kyabajwa na Serengeti ni good strategic investments!
yes but relying on international flights! They don't have local established industry! If today 3 or 4 African countries ban ET from own markets, They will feel the heat! Nipatie another international airport aside Bole hapo Ethiopia!Ni pumbavu tu ndio anaweza compare Ethiopia na bongoslum when it comes to aviation industry. They are miles and miles ahead of you.