babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Hivi huwa mnadhani mkiandika GDP Watanzania wanajali au kuumia! 😂😂😂Uwivu itwaua, Ethiopia ilishawapita kwa GDP na very soon wanawapita kwa per capita. Nyinyi endeleeni na huo uwivu wenu kama kawaida.
GDP isiyoonekana kwa ground ni ya kazi gani?
Mara ngapi Uhuru amewaambia huwezi kula GDP na hamsikii!
Hao kila mwezi mamia wanakamatwa Tanzania kwenye malori kama wahamiaji haramu.