Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma ni jiji la tofauti sana. Wakundustan ni vile wanajifanya hawaelewi. Hili jiji lina miundombinu mingi na population yake 765K (not 600K). Kasi ya ujenzi wa Dodoma ni kubwa na inaendana na population, hata siku Dodoma iki hit 1M population haitakuwa na slum, litakuwa jiji la mfano hapa East Africa ambalo linajitahidi kukua kwa kasi without congestion, pollution na ujenzi wa slums everywhere like Kenyan cities
Dodoma inajengwa kwa akili sana. Sio kama Kisumu ambayo imepata street lights 2026 😂😂
 
Daily Dose mpya

Mau Summit expressway
Image



Image
 
hata Israel wana jangwa na hata UAE waliowapa msaada wana jangwa! Sio mahali pake hapa!
Umeona Israel wakigombania maji na mifugo yao ikifa kwa njaa kama Kenya?
Kenya ni African country kwa hiyo way of life ni very different. Jamii za Kiafrika vijijini mostly ni wakulima na wafugaji tena wafugaji wa kawaida, wanahitaji good land. Kama hiyo sio shida usingeona Wakenya wakifa njaa.
UAE wana jangwa lakini wana mafuta, watu wao hawategemei ardhi yao kufanyia kilimo au ufugaji. Ni case tofauti na Kenya/Tanzania
Hata Tanzania maeneo yenye ukame hayajafikia Kenya. There's nothing beautiful here
wajirArticle1.webp
Screenshot_20260218-225831.png
 
Ni Ukunduni sio? Naona roho inakuuma kuona kinachoendelea!
You're such an idiot you don't even understand the road marking code in your country. Tanzania's centerline is normally in white, not yellow. The road is not Tanzanian.....and to think you used to claim to be a civil engineer.🚮🚮
 
You're such an idiot you don't even understand the road marking code in your country. Tanzania's centerline is normally in white, not yellow. The road is not Tanzanian.....and to think you used to claim to be a civil engineer.🚮🚮
so does it change the fact the clip has images of Tanzania?
 
Back
Top Bottom