stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,865
- 15,801
ila hii skendo imefika mpaka BBC 🤣🤣🤣
ila hii skendo imefika mpaka BBC 🤣🤣🤣
kisumu hii moja yenye imepata traffic lights mwaka juzi! 😂😂😂wacha upumbavu wewe Kisumu si level ya Mwanza kuanzia the size of the city, planning mpaka industries na mining centers mpaka ports mpaka watervessels! Mpaka public places bus/train terminals, markets, hospitals, universities n hotels mind u Kisumu haina 5 stars hotel! hata 4 star hotel hamna Kisumu! BTW hata Mwnza airport ni uzembe wa Wahusika hawajamaliza jengo na new PAX Terminal inakuja!
Badala mjenge barabara ya kuelekea arusha na infrastructure zingine, upo hapa kuwashwa na ya kenyaWanajua watalipa halafu watashindwa ku-host kwahiyo kuepuka hasara hawatalipa! mark my words!
Mfano Afcon ianze usiku huu, Tanzania ina Mkapa stadium, New Amaan Stadium na Gombani Stadium.Badala mjenge barabara ya kuelekea arusha na infrastructure zingine, upo hapa kuwashwa na ya kenya
Kwa the 3 hosts nyinyi hata ndo mnaonekana kulemewa
badala msaidie wenzenu wapate chakula unawaza barabaraz a arushaBadala mjenge barabara ya kuelekea arusha na infrastructure zingine, upo hapa kuwashwa na ya kenya
Kwa the 3 hosts nyinyi hata ndo mnaonekana kulemewa
Nairobi wamechezea congo leo na bado wakalimwaMfano Afcon ianze usiku huu, Tanzania ina Mkapa stadium, New Amaan Stadium na Gombani Stadium.
Uganda wana Hoima Stadium na Namboole Stadium.
Halafu kuna ninyi ambao utadhani CHAN ilivyo isha mligeuza viwanja kuwa mashamba ya mpunga. 😂😂😂
Rugby isnt even top 20 most popular sports, table tennis is even more popular than rugby, however bado mmelimwa na mko kwenuUSA and Germany participating in a tournament held in Kenya, lini mtafika huku?
Hiyo table tennis mumehost? Au ni kuropokwa ulipendaRugby isnt even top 20 most popular sports, table tennis is even more popular than rugby, however bado mmelimwa na mko kwenu
“USA and Germany participating in a tournament held in Kenya, lini mtafika huku?”Rugby isnt even top 20 most popular sports, table tennis is even more popular than rugby, however bado mmelimwa na mko kwenu
Ungekua unajua ball ingekua easy kukuelezea, Tanzania is participating in CAF champions league, kukuelezea ndo mgumu since you only know RUGBY, take it this way CAF is the same institution dealing with AFCON and RUgby is a primary school tournamentHiyo table tennis mumehost? Au ni kuropokwa ulipenda
ulishawahi kuskia CAF CHAMPIONS LEAGUE?Hiyo table tennis mumehost? Au ni kuropokwa ulipenda
“USA and Germany participating in a tournament held in Kenya, lini mtafika huku?”
Halafu mnauliza mbona yule raia wa Russia kawatormba sana wakunya! 😂😂😂