Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Talanta stadium surrounding areas. Compare this with makwapa and maku surroundings. It's like day and night View attachment 3542248
😂😂😂😂🙌usiku na mchana ...
FB_IMG_1770750442236.jpg
benjamin-mkapa-stadium-will-host-two-caf-champions-league-v0-nggf11g8d2rc1.jpg
 
Yani waganda wananunua unrefined gold from them alafu watauza refined at better price lakini wachawi wako hapa wanafurahia kuuzia mganda Mali mingi😂😂😂

View attachment 3542076
Acha upumbavu kuwa na akili hata kidogo. We have the mines mteja wa Europe, Asia or even America anataka Gold anatulipa pesa in USD anasafirisha Gold ore yake kwenda Uganda then abroad after refining sasa shida iko wapi hapo.
 
Bongolala wakisafirisha hio crude oil ya Uganda, sisi tunarudisha ikiwa refined. Kama kawaida tuko cardi tena. 😂 😂
Wewe mpumbavu kweli wakati Uganda wanajenga refinery yao hatahitaji refined products from overseas bali hiyo KPL itakuwa kwa mode ya reverse flow 🤣🤣🤣
 
That is Kenyan architecture. Look at the complex multi-layered roof and mid pitched roof. Roof zenu huwanga ndefu hadi nyumba roof inakuwa ndefu kuliko walls. That building would feel more at home in Nairobi or Nakuru than in Dar or Mwanza.
Acha upumbavu basi hiyo ni style za wazungu sio kenyan style. Style yenu ni tin shacks sote tunajua hapa.
 
Acha upumbavu kuwa na akili hata kidogo. We have the mines mteja wa Europe, Asia or even America anataka Gold anatulipa pesa in USD anasafirisha Gold ore yake kwenda Uganda then abroad after refining sasa shida iko wapi hapo.
Utaonaje shida wakati wewe ni bongolala? Unadhani tunawaita mibongolala bila sababu? Akili zimeganda hadi inatia huruma!

Explains why you lead in poverty in this region despite of all the mineral resources you have
 
Acha upumbavu kuwa na akili hata kidogo. We have the mines mteja wa Europe, Asia or even America anataka Gold anatulipa pesa in USD anasafirisha Gold ore yake kwenda Uganda then abroad after refining sasa shida iko wapi hapo.
Hakuna Kitu kama hiyo, mnauzia waganda unrefined gold which they refine and resell, just like mmezoea kuuzia Kenya and South Africa raw materials which we process then sell back to you as finished products🤣🤣
 
Mtowe wapi? Kama kujenga tu kiwanja cha 20k seater kinawatoa jasho Hadi muombe mchina Masada, sasa reli ndio mtaweza?😂😂
Comprehension yako ndogo sana Uwanja una fedha yake imeshatengwa na ipo. Miundombinu ya AFCON sio uwanja tuu kuna vitu vingine zaidi ya uwanja kama hotels, roads, recreation facilities and other supporting infrastructure.
 
Back
Top Bottom