stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,803
- 34,557
What's beautiful about a house like this?Most of your Kenyan people don't even have beautiful houses. Huwezi kufananisha na Tanzania.
Hiyo nyumba ipo Dodoma ndio maana wengi wanaokaa huko hawaweki greenery, ni semi arid area
Ila maeneo mengi Tanzania watu wanaweka garden mbele ya nyumba
Hiyo roof inakukalia ndefu? High pitched roofs is not a Kenyan thing bongolala. Ni ngumu sana kupata nyumba zenye ziko na na roof zinazoguza mbinguni KenyaHapo mimi nimekuonesha nyumba ya kawaida tu. Haya angalia hii hapa ipo Runda, one of the richest neighborhoods in Kenya. Hii roof sio ndefu?
Most houses in Runda zina tall roofs just like this
View attachment 3542137
Halafu Dodoma ni semi arid area. Nikikuonesha neighborhoods za huku Mbeya zilivyo green utashangaa. Nyinyi wananchi wenu wengi hawana uwezo wa kujenga ndio maana mnajenga affordable houses everywhere. Na masikini ni masikini tu, soon hizo affordable houses zitakuja kuchakaa na kuwa kama ile street yenu chafu, inaitwa Pipeline. Maghorofa yamechoka, chini matope yamejaa kwenye Barbara as if pamepakwa mavi 😂😂
Meanwhile...Ugly piece of shit
Ndio hizi hapa. Very tall, ugly roofs
View attachment 3542229View attachment 3542231View attachment 3542232View attachment 3542233
isubirie ata nje imalizike then uje sasa kucompare