Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu ni uwanja wa mpira au shamba la mpunga!? TFF haiwezi kuruhusu ligi namba 5 Afrika kucheza kwenye uwanja ambao haueleweki kama huo .

Kaangalie pitch ya KMC uwanja ambao imefungiwa, halafu linganisha na lile zizi la Ng'ombe kisirani sijui nyayo
Unaitwa Sokoine stadium. Club za Tanzania kubwa zote zinacheza humo at least once a year.

hq720.jpg
 
Huu ni uwanja wa mpira au shamba la mpunga!? TFF haiwezi kuruhusu ligi namba 5 Afrika kucheza kwenye uwanja ambao haueleweki kama huo .

Kaangalie pitch ya KMC uwanja ambao imefungiwa, halafu linganisha na lile zizi la Ng'ombe kisirani sijui nyayo
Huo uwanja upo hapa Mbeya. Ni uwanja mbaya. Hata leo nilienda kuupiga picha. Serikali inapaswa kujenga uwanja mzuri Mbeya. Huu wa Sokoine unatia aibu
 
Kama abegistan kabisa, exaggerated roofs alafu no greenery, ni kujaza cabro compound yote. Ni vile tu Nigerians build bigger houses but everything else remains the same.
Most of your Kenyan people don't even have beautiful houses. Huwezi kufananisha na Tanzania.
Hiyo nyumba ipo Dodoma ndio maana wengi wanaokaa huko hawaweki greenery, ni semi arid area
Ila maeneo mengi Tanzania watu wanaweka garden mbele ya nyumba
 
Most of your Kenyan people don't even have beautiful houses. Huwezi kufananisha na Tanzania.
Hiyo nyumba ipo Dodoma ndio maana wengi wanaokaa huko hawaweki greenery, ni semi arid area
Kenyans are very diverse, all types of architecture utazipata tena kwa wingi. Sisi sio kama nyinyi, nyumba munajenga zinafanana, magari zenu ni Toyota kwa wingi, chama ni CCM, mziki ni bongo. Kenyans don't have a culture of strong conformity like bongolalas.

Anyway back to the point, ety hawaweki greenery ju ni semi arid. 😂 😂 😂 😂 What a pathetic excuse, Nigerians and Tanzanians build the same type of houses with little to no greenery at all. You ain't beating the allegations.
 
Kenyans are very diverse, all types of architecture utazipata tena kwa wingi. Sisi sio kama nyinyi, nyumba munajenga zinafanana, magari zenu ni Toyota kwa wingi, chama ni CCM, mziki ni bongo. Kenyans don't have a culture strong conformity like bongolalas.

Anyway back to the point, ety hawaweki greenery ju ni semi arid. 😂 😂 😂 😂 What a pathetic excuse, Nigerians and Tanzanians build the same type of houses with little to no greenery at all. You ain't beating the allegations.
Hapo mimi nimekuonesha nyumba ya kawaida tu. Haya angalia hii hapa ipo Runda, one of the richest neighborhoods in Kenya. Hii roof sio ndefu?
Most houses in Runda zina tall roofs just like this

Halafu Dodoma ni semi arid area. Nikikuonesha neighborhoods za huku Mbeya zilivyo green utashangaa. Nyinyi wananchi wenu wengi hawana uwezo wa kujenga ndio maana mnajenga affordable houses everywhere. Na masikini ni masikini tu, soon hizo affordable houses zitakuja kuchakaa na kuwa kama ile street yenu chafu, inaitwa Pipeline. Maghorofa yamechoka, chini matope yamejaa kwenye Barbara as if pamepakwa mavi 😂😂
 
Hapo mimi nimekuonesha nyumba ya kawaida tu. Haya angalia hii hapa ipo Runda, one of the richest neighborhoods in Kenya. Hii roof sio ndefu?
Most houses in Runda zina tall roofs just like this

View attachment 3542137
Halafu Dodoma ni semi arid area. Nikikuonesha neighborhoods za huku Mbeya zilivyo green utashangaa. Nyinyi wananchi wenu wengi hawana uwezo wa kujenga ndio maana mnajenga affordable houses everywhere. Na masikini ni masikini tu, soon hizo affordable houses zitakuja kuchakaa na kuwa kama ile street yenu chafu, inaitwa Pipeline. Maghorofa yamechoka, chini matope yamejaa kwenye Barbara as if pamepakwa mavi 😂😂
The Runda home is a storey house and the height of the roof is not unproportionate the overall height of the house. Tena a part of the roof is used as a living space, which is very common in most houses abroad.Also take note of the greenery.

Ebu ona hii yenu, roof ni kubwa sana and it's not used as aliving space, tena hii roof yenu unaiona from all angles haifichiki. Alafu cabro kila pahali. 😂

5346392_MTI4MC05NjAtYjY2NDhlMWQwMA.webp

Your colleagues from Nigeria have a better finishing but characteristics ni zile zile. Ugly tall roof which is not used as a living space na cabro kila mahali with little to no greenery at all.

a Two (2) Bedroom Block of Flat, Osongama Estate, Uyo, Akwa Ibom, Block of Flats for Sale
 
Back
Top Bottom