Unaitwa Sokoine stadium. Club za Tanzania kubwa zote zinacheza humo at least once a year.Huu ni uwanja wa mpira au shamba la mpunga!? TFF haiwezi kuruhusu ligi namba 5 Afrika kucheza kwenye uwanja ambao haueleweki kama huo .
Kaangalie pitch ya KMC uwanja ambao imefungiwa, halafu linganisha na lile zizi la Ng'ombe kisirani sijui nyayo
Huo uwanja upo hapa Mbeya. Ni uwanja mbaya. Hata leo nilienda kuupiga picha. Serikali inapaswa kujenga uwanja mzuri Mbeya. Huu wa Sokoine unatia aibuHuu ni uwanja wa mpira au shamba la mpunga!? TFF haiwezi kuruhusu ligi namba 5 Afrika kucheza kwenye uwanja ambao haueleweki kama huo .
Kaangalie pitch ya KMC uwanja ambao imefungiwa, halafu linganisha na lile zizi la Ng'ombe kisirani sijui nyayo
Kama abegistan kabisa, exaggerated roofs alafu no greenery, ni kujaza cabro compound yote. Ni vile tu Nigerians build bigger houses but everything else remains the same.Nyumba za kawaida za Watanzania sio European architecture
View attachment 3542119
Ni kweli huo uwanja upo hapa Tanzania, tena Mbeya huku nilipo. Leo jioni nilienda kuuangalia hata sijaupenda. Niliupiga picha kwa njeUnaitwa Sokoine stadium. Club za Tanzania kubwa zote zinacheza humo at least once a year.
![]()
Most of your Kenyan people don't even have beautiful houses. Huwezi kufananisha na Tanzania.Kama abegistan kabisa, exaggerated roofs alafu no greenery, ni kujaza cabro compound yote. Ni vile tu Nigerians build bigger houses but everything else remains the same.
Unaitwa Sokoine stadium. Club za Tanzania kubwa zote zinacheza humo at least once a year.
![]()
Next time ngoja niingie ndani nikaangalie ulivyo inside
Kenyans are very diverse, all types of architecture utazipata tena kwa wingi. Sisi sio kama nyinyi, nyumba munajenga zinafanana, magari zenu ni Toyota kwa wingi, chama ni CCM, mziki ni bongo. Kenyans don't have a culture of strong conformity like bongolalas.Most of your Kenyan people don't even have beautiful houses. Huwezi kufananisha na Tanzania.
Hiyo nyumba ipo Dodoma ndio maana wengi wanaokaa huko hawaweki greenery, ni semi arid area
Hapo mimi nimekuonesha nyumba ya kawaida tu. Haya angalia hii hapa ipo Runda, one of the richest neighborhoods in Kenya. Hii roof sio ndefu?Kenyans are very diverse, all types of architecture utazipata tena kwa wingi. Sisi sio kama nyinyi, nyumba munajenga zinafanana, magari zenu ni Toyota kwa wingi, chama ni CCM, mziki ni bongo. Kenyans don't have a culture strong conformity like bongolalas.
Anyway back to the point, ety hawaweki greenery ju ni semi arid. 😂 😂 😂 😂 What a pathetic excuse, Nigerians and Tanzanians build the same type of houses with little to no greenery at all. You ain't beating the allegations.
Ugly piece of shit"Shields za Talanta hazitakuwa na spears" alisikika mchawi mmoja wa Tanzania akisema.
View attachment 3542138
The Runda home is a storey house and the height of the roof is not unproportionate the overall height of the house. Tena a part of the roof is used as a living space, which is very common in most houses abroad.Also take note of the greenery.Hapo mimi nimekuonesha nyumba ya kawaida tu. Haya angalia hii hapa ipo Runda, one of the richest neighborhoods in Kenya. Hii roof sio ndefu?
Most houses in Runda zina tall roofs just like this
View attachment 3542137
Halafu Dodoma ni semi arid area. Nikikuonesha neighborhoods za huku Mbeya zilivyo green utashangaa. Nyinyi wananchi wenu wengi hawana uwezo wa kujenga ndio maana mnajenga affordable houses everywhere. Na masikini ni masikini tu, soon hizo affordable houses zitakuja kuchakaa na kuwa kama ile street yenu chafu, inaitwa Pipeline. Maghorofa yamechoka, chini matope yamejaa kwenye Barbara as if pamepakwa mavi 😂😂
Why should I care about an opinion of an ugly toddler like you?Ugly piece of shit