Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,711
Kwa ushamba yako/Wenu, wewe/nyinyi ndo unaita/mnaita kitu inatembea at 150km/h bullet train hapo bongolalaAcha uongo wewe. Ulaya hakuna bullet train, kuna electric na diesel electric za kawaida ambazo kwa ushamba wako unaziita Bullet Train. Kama unaita Eurostar bullet train basi hata zitakazokuja Tz zitakuwa bullet trains.
