joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kwenu muhimu ni kuwa famous na sifa za kijinga, lakini mamba muhimu ya msingi kama njaa, slums, unemployment, tribalism, insecurity na corruption hamshughuliki navyo kwasababu is part of your daily lifeHawes survive bila KENYA ndio Maana wanajua kila kitu kutuhusu making us more famous juu ya search engine ya Google kuzoea Kenya this Kenya that.
hii ndio Tazara ya 1970's>>>
View attachment 665462
Wala hatuna shida na sifa za kijinga, so long as hatuna njaa na mnatutegemea kwa chakula, bila sisi mnakufa kwa makundi, so long as we have the only bullet train in Afrika, no slums, low unemployment rates, low corruption, and high level of security and one united Nation, that is more than enough[emoji23] [emoji23] [emoji23]Namba mtaendelea kuisoma bila shaka...LDC wakiingia lower middle Income nasi tunaingia upper middle income hakuna kuwa equals katika huu mchezo kwa kubwa aliyetangulia Hawes shikwa au kufikiwa.
Iyo ilikua last yr wkt wnavunja jengo la tanesco pale ubungoHii ya lini mkuu????
Mwishon wa 2017 au 18???
Nimewatoa heshima yote hawa wajinga wakenya .....bt nashukuru mungu tz hatuwez kua nA maisha ka ya kenya ....yaan ka Rais wa awamu iliyopta angefanya mambo anayofanya magu now hawa maboya tungekua tushawashika makende ..all in all life bongo mkenya hagusi hata chembe tuwaachee na jina dc maana ndio linawapa kichwa wanajisahau wanalala safi sana..kenya is the best city in ea makofi kwa wakenya jamAn!!!!Kwenu muhimu ni kuwa famous na sifa za kijinga, lakini mamba muhimu ya msingi kama njaa, slums, unemployment, tribalism, insecurity na corruption hamshughuliki navyo kwasababu is part of your daily life
Umeeona rate yenu ya economic growth inasoma percentage ngapi?????et hamwez fikiwa hahaH I love ur mentality sababu ndio itayofanya tuwapite na kuwaacha mkiendelea kuimba gdp,dc na ujinga wenu mwingne.Namba mtaendelea kuisoma bila shaka...LDC wakiingia lower middle Income nasi tunaingia upper middle income hakuna kuwa equals katika huu mchezo kwa kubwa aliyetangulia Hawes shikwa au kufikiwa.
Hahahahahaaa....eti slowest what!!! Nomaa sanaA third class railway alafu the slowest bullet train
Mnatambulika kama miongoni mwa nchi zenye njaa mbaya africa,mkubali na hilo pia.Sisi tujiiti DC..sorry tunable tambuliwa ivyo nyie kueni proud to be LDC....na correction.. KenyaTuna miji mengi ya biashara.c.moja
Niliishakwambia hao millionaire wengi mmoja ni mume wako au mpenzi wako???anakusaidiaje na utajiri wake.wapeni kazi ya kuondoa njaa hapo kenya.tuna more than two billionaires nyie hamna hata mmoja.na husikii tukipiga kelele.Sasa Wewe..ujielewi.zidi kunyamba nyamba .lkn ujue...Kenya excluding Nairobi.INA millionaire wengi kuishinda Tz....na ukiongezea Nairobi.. Hamwioni..kabisa π π π π nyie zidini kukimbiza upepo
Ajuza...shenzy wewe kua na heshima kwa wadogo zakokilaza unawashwa shimo la katikati ya makalio yako...acha nije nikukune.[emoji23]
polisi kumi na magaidi 50.....kama ni wewe polisi unaweza pambana nao?walikimbia wote kwenda kujifichaπππ
But is twice faster than Chinese gari moshi in Kenya, is slower if you compare it with Japanese standard, and that is exactly what we want to be compered with giants[emoji23] [emoji23]Hahahahahaaa....eti slowest what!!! Nomaa sana
Aache kuongea ufala kwa wanajeshi wa tz walioko drc sasa.polisi kumi na magaidi 50.....kama ni wewe polisi unaweza pambana nao?
Why don't we compare our respective rail when yours is complete.But is twice faster than Chinese gari moshi in Kenya, is slower if you compare it with Japanese standard, and that is exactly what we want to be compered with giants[emoji23] [emoji23]
we jamaa unapenda kulia lia sana...πππππNimewatoa heshima yote hawa wajinga wakenya .....bt nashukuru mungu tz hatuwez kua nA maisha ka ya kenya ....yaan ka Rais wa awamu iliyopta angefanya mambo anayofanya magu now hawa maboya tungekua tushawashika makende ..all in all life bongo mkenya hagusi hata chembe tuwaachee na jina dc maana ndio linawapa kichwa wanajisahau wanalala safi sana..kenya is the best city in ea makofi kwa wakenya jamAn!!!!
Hamna kitu nyie malofa mnatia huruma mioyon mkija jf ndio mnajitutumua kaa mtu anakata gogo hahahahahawe jamaa unapenda kulia lia sana...πππππ
For educated people, project is 85% complete after planning phase is over and fund has been released, these railways shall be declared complete when both of them reach to Malaba and Mwanza respectively, by now not single one is complete just at different levels of implementation.Why don't we compare our respective rail when yours is complete.