Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah, you are right. Napenda sana kuongelea Kibera 😊
Pia usisahau na hii, hewa safi tunayovuta Dar huwezi kuipata Naipori, especially Kibera 😆😆
In school, I was taught that trees help in air purification. Sasa Dar yenu ambayo greenery haipo hewa safi itoke wapi? Can Dar come close to Nairobi when it comes to greenery and green spaces? Have you forgotten that tis is a green city under the sun?
 
Ati Dar hakuna Greenery unaongea nini wewe? By the way miti pekee haitoshi kuleta hewa safi, mji wenu ni congested, industries hazipo mbali na city, magari mengi yanaendeshwa kwenye eneo dogo na ukumbuke magari yanachoma fuel then smoke inakuwa released to the atmosphere, takataka zenu mnachoma hapohapo. You produce a lot of smoke ndio maana jiji lenu lina hewa chafu ukifananisha na miji mingine ya Africa.
Dar miti ipo, na air pollution ni kiwango cha chini compared to Nairobi
1766855834449.jpg
 
dar ya zamani ilikuwa poa, well planned mfano magomeni, ilala, temeke, mpaka kinondoni, mwananyamala, sehemu za kurasini, changombe yote sawa shida ilikuja walipoanza kuvuka mipaka ya dar original na kuongeza mfano sinza ni mpya pia walijaribu plan ya sinza ni nzuri sema pia wameiharibu kwenye ramani ya sinza original kuna maeneo ya wazi kwa ajili ya parks, viwanja vya michezo kwa ajili ya watoto lkn wamejenga kote, mbezi beach tulikuwa tunaita nje kidogo ya jiji la dar leo hii huwezi kuita mbezi beach hivyo imeshaungana na kawe, na mbezi beach ilikuwa posh klk hata masaki ukiangalia ramani original ya mbezi beach haina mfano very nice ila utekelezaji sasa wakaanza kujenga kwenye mito ambayo inatoka mbezi juu huko kibaha kueleka baharini na kuiziba yote matokeo yake mvua zikianza mafuriko maji hayana pa kwenda ingawaje bahari iko hapo hapo lkn maji yanajaa barabarani ramani original ya mbezi beach inaonyesha mito inapopita, leo hii wamejenga kwenye eneo la mikoko na ambalo kisheria ni hifadhi halipaswi kuguswa na wamejenga mavila.

kwa maoni yangu mbezi beach ilipaswa kuwa mpaka na dar isingeruhusiwa kukuwa tena zaidi hapo bali tungepaswa kuwekeza kwenye eneo lililopo, angalia mfano upanga ilivyojengwa na kupangwa vizuri kama kila mtu angejenga kibanda chake upanga unafikiri hali ingekuwakje leo hii? tulipaswa tujenge upanga nyingi halafu tutenge maeneo maalumu kwa familiy homes ama bungalows, kigamboni ilikuwa ni chance nzuri lkn nako ni vile vile tu ujenzi holela, eneo zuri lkn tunaharibu ...
Globalization ilikuja kuharibu Dar yetu.

Ukiacha ile Dar ya mkoloni, kama Ilala, Magomeni, mjini, Upanga, Oysterbay, Kariakoo na Tandika, umetaja upanuzi aliofanya Nyerere pale Sinza na hata Mwenge kijijini, kiutaratibu.

Daada ya hapo ulikuwa ndiyo mwisho wa kufuata mpangilio.
 
Yeah, UDOM nao wapo vizuri
SAUT wanaweza kuwa na kozi za Engineering lakini naona ni ngumu kuconsider kama Engineering school maana wanazo chache sana, pia wamebase zaidi kwenye mambo mengine
Wacha dharau, kuna chuo kizuri kama SAUT kwenye vya private? Wana course Za civil n electrical engineering!
 
Ati Dar hakuna Greenery unaongea nini wewe? By the way miti pekee haitoshi kuleta hewa safi, mji wenu ni congested, industries hazipo mbali na city, magari mengi yanaendeshwa kwenye eneo dogo na ukumbuke magari yanachoma fuel then smoke inakuwa released to the atmosphere, takataka zenu mnachoma hapohapo. You produce a lot of smoke ndio maana jiji lenu lina hewa chafu ukifananisha na miji mingine ya Africa.
Dar miti ipo, na air pollution ni kiwango cha chini compared to Nairobi
View attachment 3521687
Ongea na data mkuu. Wacha kuropokwa.
 
Uje ukenue meno
see how useless your city is, modern cities have purpose! recreation, entertainment, tourism... but why would i travel to attain cholera, and ofcourse i have been there before and it was because i was dating some chick there not because of anything special
 
hakuna mahali nimelaumu mwananchi, najua ni kosa la serikali kuruhusu kila mtu kujenga vibanda kiholela kila mahali.

siyo kila mahali ni pakujenga kila kibanda, dar ina square km >1500 ni nyingi sana lkn hakuna hakuna park ya watu kupumzika, viwanja vya michezo vya watoto na vijana vyote vimejengwa vibanda, ukiangalia bird eye view ya dar unaweza kulia, ushawahi kutua dar na ndege halafu ukaangalia chini mabati kutu kila mahali, not good.

ukiingia dar unatokea nje ya nchi kwa hali ya kawaida mtu anakuwa na shauku ya kuona mji lkn kuanzia kibaha kushuka haivutii kabisa, vibanda, gereji bubu kila mahali magenge ya nyanya na mkaa just chaos, ukiangalia mabondeni kimara wamejenga kiholela no planning, mji una watu zaidi ya milioni 5 lkn hakuna highway system ya kuzunguka mji, kuna watu wanatumia masaa 4 kwenda na kurudi kazini kila siku kwenye usafiri tu, not good, dar siyo mji beautiful kabisa yaani, na ukiniuliza mimi dar is a lost cause, labda tujaribu dodoma na miji mingine kwa kujifunza kutokana na makosa tuliofanya …

Ati Dar hakuna Greenery unaongea nini wewe? By the way miti pekee haitoshi kuleta hewa safi, mji wenu ni congested, industries hazipo mbali na city, magari mengi yanaendeshwa kwenye eneo dogo na ukumbuke magari yanachoma fuel then smoke inakuwa released to the atmosphere, takataka zenu mnachoma hapohapo. You produce a lot of smoke ndio maana jiji lenu lina hewa chafu ukifananisha na miji mingine ya Africa.
Dar miti ipo, na air pollution ni kiwango cha chini compared to Nairobi
View attachment 3521687
Sio nyinyi mnaiitanga Naipori kwa sababu ya misitu nyingi? 😅😅
IMG_6447.jpeg
 
see how useless your city is, modern cities have purpose! recreation, entertainment, tourism... but why would i travel to attain cholera, and ofcourse i have been there before and it was because i was dating some chick there not because of anything special
Remember two of your Presidents said that Nairobi is like London to Tanzanians.
 
Back
Top Bottom