Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,122
hapo mbna pasafi fuatilia page ya mosiria kabla ya kutolewa kwenye wazifa wa mazingira mbna utalia mwenyeweBinadamu anawezaje kuishi sehemu kama hii 😂😂
View attachment 3522403
Geza Ulole.
Hivi hii ngao kwenye bendera yenyu, asili yake ni kabila gani?
Big and ugly 🤮
WanyamweziHivi hii ngao kwenye bendera yenyu, asili yake ni kabila gani?
Sema tu ni maumivu 🤣🤣🤣Big and ugly 🤮
Huwa mnajifanya sana ni kama hamna ngao kwa coat of arms.Hivi hii ngao kwenye bendera yenyu, asili yake ni kabila gani?