Because Tanzania is better in other aspects more than technology ndio maana utakuta Universities nyingi kwenye hiyo list sio za Engineering bali ni za mambo mengine kama politics, procurement, law etc
Ulipaswa usearch best Engineering schools in Tanzania, ambazo in fact zipo chache
1. Dar es Salaam Institute of Technology (DIT)
2. Arusha Technical College (ATC)
3. Mbeya University of Science and Technology (MUST)
4. Sokoine University of Agriculture SUA (Hii ni kwa Agricultural Engineering)
5. Ardhi University (For Civil, Architecture etc.) hii ilikuwa branch ya UDSM before
Na hapa Ardhi wanatoa "Bachelor of Science in Civil Engineering" wakati MUST tunayo pure "Bachelor of Civil Engineering" ambayo ni practical based, sio Bachelor of Science
etc
Most engineers in Tanzania are from MUST and DIT, hivyo vyuo vya list yako ya top 15 sio list ya Engineering Schools, ni Universities kiujumla ambazo zinatoa kozi nyingi ambazo sio za Engineering
Fuatilia JF threads zinazoongelea Engineering Schools hapa Tanzania, utaona most people prefer MUST and DIT, cause we are the best 💪