Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It will only work there if the government provides it 100% free unlike Kenya where you still have to pay to own it (subsidized prices). That can be a major strain on their already stressed Bongo budget . The purchasing power of Bongo poor class is too weak for affordable housing scheme unless it’s given wholly for free . If their small middle class couldn’t even afford to make avic town a success, how will the poor make it in the housing sector…Remember Avic?… you can put a similar estate anywhere in Nairobi or Mombasa and would sell out before construction begins
 
Wewe mpumbavu huwa unajifanya unaijua sana Tz. Hivi una akili wewe? Yaani unavyoiongelea Tz comparing to Ke utafikiri Kenya ni bchi ya level za Scandinavia. Acha uoumbavu wewe. Kenya na Kemyans ni masikini tu kama MAJORITY of African countries/people.
 
Wewe mwaiofhawaii na wapumbavu wenzio nani amewaambia Avic town imefeli? Kitu walichokosea ni location tu. Avic town ipo 25km from Ferry Kigamboni sehemu ambayo iko nyuma kwenye vitu vingi. Watubwana options bora zaidi kuliko Avic town kwanini waende huko?
Halafu hao Wachina wanaomiliki Avic town wana housing projects nyingi tu na wanaendelea kujenga,kama huo utumbo unaoongea ungekuwa kweli wangeacha kujenga.
Samia houses ziliisha kabla ujenzi haujaisha au hizo mlinunua Wakenya? Acha ujinga.
 
Your insults clogged my mind I couldn’t follow you ..😁😁… but whatever the location , investors could put support facilities if the market is there. You can build Avic town in the middle of Kajiado county and everything they need will prop up so quick .. from Manyanga transport to shopping centers ( all put by outside investors) I guess the concept of free market system is alien to you guys..
 
I never said we are Scandinavian but in comparable scenarios If Tanzania was Cambodia, Kenya is Singapore… there you have it..😁😁
 
This is Eldy images from near a certain garage area (just behind the Indian temple).
images courtesy of @eldoretleo

 

Attachments

  • IMG_0614.jpeg
    1 MB · Views: 25
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2025-12-20 at 23.28.18.jpeg
    140.2 KB · Views: 31
Jifunze history, Israel was established when Jews who had spread around Europe faced prosecutions including the holocaust. Therefore they decided to return to their ancient land and establish a nation of their own.
 
Can you point out one lie in his statement? He gave example with Kawe City which failed terribly because there were no buyers. If you look at the level of affordable housing projects going on in Kenya and the fact that some are sold before even groundbreaking, then you'll understand his point.

Again, look at the level of highrise residential towers under construction in Nairobi ( take Westlands for example where close to thirty 25+ floor apartments are coming up almost everywhere). It clearly shows the purchasing power is there which is what he was referring to.
 
Bro tuseme tu ukweli, why do townhouses/ modern homes & villas fail to sell in Dar/ Tz in general? I believe if you’re into real estate you are aware that in Nairobi most apartments sell out before completion.That’s also true for other cities like Mombasa.
However realtors in Tanzania have even resorted to selling to Kenyans. I see huge billboards in Nairobi advertising Fumba Town all the way in Zanzibar… a project that i believe began construction in 2015, we’re getting to 2026!!
 
Kuna siku jamaa aliteta juu ya kupost lake magadi akasema ni natron 😅😅
lake Magadi

View: https://x.com/kapyoseiin/status/2002328989004615832?s=46
 
Ukiona billboard ya Kenya in Dar advertising homes for sale , tag me nifunge account..😋😆
 
Hivi mbona mnapenda kuropoka? Kawe city ndio ipi? 7-11? Nani alikwambia imefeli kwasababu imekisa buyers? Magufuli ndio alisimamisha ile project kwa sababu anazozijua yeye. Na sasa hivi karibu inamalizika. Acheni ujuaji kwenye vitu msivyovojua.
 
Hebu nitajie projects 5 unazozijua zimefeli kuuza. Yaani mnapenda kuzungumzia Tz kama mnaijua sana acheni upuuzi. Kuhusu billboards. Dar kuna matangazo ya nyumba za Dubai ina maana Dubai wamefeli?
 
Kwani hizi nyumba hazijawahi isha? Been seeing this project since I joined this forum 7 years ago!
Ndio maana nawaita wapumbavu. Mnapenda kuzungumzia msiyoyajua. Mnachujua tu tweets za wajinga wenzenu . Kwanza hizo sio affordable houses. Pili mradi ulisimama kwasababu anazozijua Magufuli na sasa hivi zinaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…