President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
I guess you did not get the memo but the timelines are by design. it’s on course, main question is, as of now Is it in operation or not?The dead project. Started March 2, 2012. Almost 20 years now with no progress
It will take more than 50 Years. Mark my wordsI guess you did not get the memo but the timelines are by design. it’s on course, main question is, as of now Is it in operation or not?View attachment 3515770
Mende being mounted!
Tuonyeshe zile chuma zenu za kuchomelea pale Arusha Geuza.Mende being mounted!
Unayoandika ni maneno tu. Kwenye social media hata mtoto wa miaka 8 anaweza sema yupo na miaka 60. Ukweli comments zako zinaonesha how stupid your are, na namna umri wako ulivyo chini.
Hujui kuwa majeshi yote ya ulinzi na usalama yanaapa kumlinda amiri jeshi mkuu? Halafu ulivyo mpubavu unakuja hapa kutuletea usenge wako wa kumtukana Head of State, Amiri Jeshi Mkuu na Kiongozi wa Serikali.
View: https://youtube.com/shorts/gSdLUC3fdgA?si=KKvaxgWAHlvE7EVb
Mkila mahrage mnavimbiwa na kuanza kuropoka kwenye mitandao
Eboh!!
Nimeona nikuwekee hizi post tangu 2018 at least upate uelewa kuwa naijua Chadema na maneno yangu hayana michambo wala uhusuano wowote na uliowataja wakina Lissu, Maria. Hao wametublock tangu 2016 huko! Chadema haijawahi kuwa chama cha kisiasa Tanzania zaidi ya proxy brigade ya westerners na Lissu ni agent kama wengine.Nimekuambia wewe ni mpumbavu na wewe ni Gen Z. Unaivishwa na propaganda ndogo tu za kwenye social mendia na unabadilika na kuanza kulitukana Taifa lako. Akili zako bado zinakua hazijakomaa. Kama akina Maria Sarungi na Mange Kimambi wameweza kukupiga propaganda za video za AI ukajaa kwenye mfumo sasa tukuiteje?
1. Utakuwa bado akili zako ni za kitoto haziwezi kuchambua huu ni ukweli na huu ni uongo.
2. Elimu yako ya kuchambua hii ni Black Propaganda na hii ni kweli huna
3. Unajilazimisha kufanya siasa wakati hujui siasa, matokeo yake unakasirika ovyo na kuongea maneno ya ajabu ajabu kama akina Heche na Lissu ambao ki msingi siyo wanasiasa ni activist. (Mwanasiasa anafanya kwa lengo la kuleta maendeleo katika nchi na kulinda uhuru wa nchi yake). Sasa Heche anasema nchi iwe chini ya wazungu kama siyo bangi za Mara itakuwa ni akili za kitumwa.
4. Hujui uwezo wa Rais na hujui kuwa Urais ni Taasisi. Unapiga kelele na kitoto eti unadhani utamdogosha Amiri Jeshi Mkuu kwa maneno yako na Mange ya Michambo kwenye social media.
5. Dogo nenda shule kwanza kajifunze kuhusu National Interest hususani Interest za Tanzania. Shukuru Rais Samia amekomaa sana kisiasa. Kaanza kuwepo kwenye NEC ya CCM since mwaka 2,000. So amekuwa kwenye siasa za Taifa hili miaka zaidi ya 25. Anazijua Siasa za ndani na nje. Na siasa ngumu kuliko siasa zote ni zile za ndani ya CCM. I know I have been in CCM siasa zaidi ya miaka 20 sasa. Kwahiyo huniambii kitu wewe mtoto wa mama.
NB: Acha kuropoka ropoka. Propaganda nazijua mno, maana mimi nimesoma Propaganda nchini Yugoslavia na German. Najua kutengenea Big Lie na namna ya ku overcome. Nazijua propaganda za Kisiasa na za Kidini. Nilisoma Imminent Threats miaka 2 Israel, Nimesoma mwaka mmoja Aktivnye Meropriyatiya Urusi.
Nimekudokeza vitu vichache tu, ujifunze kuhusu mimi. Mimi siyo wa kuparamiwa kipumbavu dogo.
Nimeona nikuwekee hizi post tangu 2019 at least upate uelewa kuwa naijua Chadema na maneno yangu hayana michambo wala uhusuano wowote na uliowataja wakina Lissu, Maria. Hao wametublock tangu 2016 huko! Chadema haijawahi kuwa chama cha kisiasa Tanzania zaidi ya proxy brigade ya westerners na Lissu ni agent kama wengine.
Mi nipo against na hicho chama na hao wkina Maria kitambo sana.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1482177843618623488
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1065675912442773504
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1426334234097209348
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1053925088666570752
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1920232264736063844
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1857063749896597685
Hayo madude ulio orodhesha ni among seven devices za propaganda. Sio tu kwakua wewe umesoma somewhere basi unadhani wengine hawajui ama hawajasoma hayo mavitu.
MSAADA TUTANI: utapata uelewa mzuri wa "name calling device" kama umesoma or utasoma "problems of Identity"; mimi niligongana nalo hilo kwenye Perennial Philosophy.
Kuna watu najuana nao kwenye forums nje ya JF kama Geza, Nairobi Walker kwa karibu or zaidi ya miaka 10. Sasa kama nina 23 years nilianza kuwa mitandaoni nikiwa 13 years. Hakuna mtu smart upstairs anaweza kuja na hizi assumptions zako za umri. 🚮
Samia hapingwi kwa sababu ya dini yake, bali kwa incompetence na ukibaraka wake wa mtandao.
Jamaa hata hajui Nyerere alistaaf urais 1985 lakini aliendelea kuwa mwenyekiti wa CCM.Unafanya propaganda sasa, uliniuliza mtandao ni nani, nikakujibu, sasa naona uneamua kuhamisha magoli ili tusimuongelee Kikwete. Acha mambo ya kufunika kombe, hatujamalizana na mtandao wa kikwete bosi wa Samia.
Hiyo kauli ya kikwete bosi wa mtandao, kuwa bosi wa Samia unaielewa?
Hii empty container Venus Star inadai mimi ni Gen-Z 🚮Mr. Twitter.
I’m glad that when you noticed it’s barely 10 years into it’s 30 year plan, you quickly changed your comment to 50 years now😅It will take more than 50 Years. Mark my words
You missed an opportunity to say Mr X 😅Mr. Twitter.