Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_6195.jpeg
IMG_6194.jpeg
 
Aisee kumbe na Kawawa Road kuna ujenzi wa daraja? Au ni ujenzi wa BRT unajenga Daraja pia?
Eneo la Mkwajuni ni Mpango wa Kudhibiti mafuriko kama Daraja la Jangwani, Eneo la Kigogo karibu na Round about au Msimbazi Center pia hivyo hivyo na BRT Phase 2 kipande hiko naona wameacha daraja likamilike kwanza. Kuna madaraja matatu makubwa kazi inaendelea. Jangwani, Kigogo na Mkwajuni. Ambapo mawili kama unavyoona yapo Kawawa Road.
 
Nimeona nikuwekee hizi post tangu 2018 at least upate uelewa kuwa naijua Chadema na maneno yangu hayana michambo wala uhusuano wowote na uliowataja wakina Lissu, Maria. Hao wametublock tangu 2016 huko! Chadema haijawahi kuwa chama cha kisiasa Tanzania zaidi ya proxy brigade ya westerners na Lissu ni agent kama wengine.

Mi nipo against na hicho chama na hao wkina Maria kitambo sana.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1482177843618623488


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1065675912442773504


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1426334234097209348

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1053925088666570752


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1920232264736063844


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1857063749896597685

Hayo madude ulio orodhesha ni among seven devices za propaganda. Sio tu kwakua wewe umesoma somewhere basi unadhani wengine hawajui ama hawajasoma hayo mavitu.

MSAADA TUTANI: utapata uelewa mzuri wa "name calling device" kama umesoma or utasoma "problems of Identity"; mimi niligongana nalo hilo kwenye Perennial Philosophy.

Kuna watu najuana nao kwenye forums nje ya JF kama Geza, Nairobi Walker kwa karibu or zaidi ya miaka 10. Sasa kama nina 23 years nilianza kuwa mitandaoni nikiwa 13 years. Hakuna mtu smart upstairs anaweza kuja na hizi assumptions zako za umri. 🚮

Samia hapingwi kwa sababu ya dini yake, bali kwa incompetence na ukibaraka wake wa mtandao.

Unatafuta followers, Kwikwikwikwikwikwi
 
Back
Top Bottom