President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,379
Wewe huelewi. Nimekutajia University zaidi ya 8 and I was just getting startedMbeya is not a City and University can't make a place to be called a city.
ila nadhani standard ya hotels vyuoni huwa 4 star sidhani kama ma-lecturers wakiwa kwenye conferences wanakuwa booked 5 star hotels!Nikiona miradi kama hii nasikia raha sana. Kwa sasa inapaswa tuanze kuvutia uwekezaji wa sekta binafsi nchini, ili tupate maendeleo ya haraka
Hawa nadhani wanataka kujenga hotel ya 5 star sio kwa ajili ya malecturer, bali kwa ajili ya kufanya biashara. Mty yoyote anayetaka ataitumia hiyo hotelila nadhani standard ya hotels vyuoni huwa 4 star sidhani kama ma-lecturers wakiwa kwenye conferences wanakuwa booked 5 star hotels!
Si sawa umbali wa chuo na city center! UDOM kama kitovu cha elimu inapaswa kuzingatia pia incase ya Sympiom ama educational conference wageni watakaa wapi!Hawa nadhani wanataka kujenga hotel ya 5 star sio kwa ajili ya malecturer, bali kwa ajili ya kufanya biashara. Mty yoyote anayetaka ataitumia hiyo hotel
Kwa hiyo ni 100% possible watajenga hoteli ya 5 star
Kumbe hawana conference hallSi sawa umbali wa chuo na city center! UDOM kama kitovu cha elimu inapaswa kuzingatia pia incase ya Sympiom ama educational conference wageni watakaa wapi!
not practicable! UDSM wana ubia hoteli Kunduchi na nyota nne!Kumbe hawana conference hall
Hata hivyo wageni pia wanaweza kukaa kwenye 5 star hotel kwa sababu ndio iliyopo, sio lazima 4 star
Kwa hiyo huo mradi wa hoteli ya nyota tano unaona ni mbaya?not practicable! UDSM wana ubia hoteli Kunduchi na nyota nne!
kwa location ile ya umbali wa kutoka city center! maana facility ile ni kwa ajili ya ku-host researchers na wageni conferences za mambo ya academics! Si marais au wafanya biashara wakubwa! labda kama wangeijenga katikati ya Jiji! Hiyo hoteli haitalipa!Kwa hiyo huo mradi wa hoteli ya nyota tano unaona ni mbaya?
Halafu UDSM wanatumia hotel ya nyota nne, ni uamuzi wao. UDOM wanataka ya nyota tano
Wewe unaishi Tanzania gani???Hakuna mtanzania mwenye sura ngumu hivo na kiswahili cha hivyo anaoneka mkikuyu huyo maana ndo sura zao hizo
Kundusdwellers bhana KwikwikwikwikwiWewe unaishi Tanzania gani???
80% ya watanzania ni sura ngumu
Ama unadhani Tanzania ni Cape Verde 😂
Kwenye list huwezi kuwakosa wakenya KwikwikwikwikwikwiWewe unaishi Tanzania gani???
80% ya watanzania ni sura ngumu
Ama unadhani Tanzania ni Cape Verde 😂
Mji ndio unatanuka hivyo, city centre ipo crowded, acha wajenge pembeni ya mji. Binafsi hii style yetu ya kujenga majengo makubwa mbali na city centre naikubali sana, mji unatanuka unakuwa mkubwa, tofauti na miji ya Kenyakwa location ile ya umbali wa kutoka city center! maana facility ile ni kwa ajili ya ku-host researchers na wageni conferences za mambo ya academics! Si marais au wafanya biashara wakubwa! labda kama wangeijenga katikati ya Jiji! Hiyo hoteli haitalipa!
Kwenye list huwezi kuwakosa wakenya Kwikwikwikwikwikwi
View: https://x.com/Globalstats11/status/1998612145425256938?s=20
We naye. Sometimes vitu unaviacha vinapita. Mpaka lini tutawafundisha siasa? Waache wahusika wajitetee wao. Adui hasifiwi kwa chochote.Ila hizi list sometimes huwa siziamini
Kwa hiyo Burundi na Somalia kuna higher quality of life kuliko Russia 😂