Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,205
- 12,573
Wewe huelewi. Nimekutajia University zaidi ya 8 and I was just getting startedMbeya is not a City and University can't make a place to be called a city.
Nataka ukubali kwanza kuwa Bondo na Siaya hazifikii Mbeya kwa Universities. Acha kupretend as if nimetaja university moja, nimekutajia university nyingi. Tena Mbeya ina more than 15 universities ila nimetaja tu main
Ukishakubali kuwa Bondo na Siaya hazifikii Mbeya kwa number of universities niambie sasa nihamie kwenye hospitals
Nataka ukubali kimoja kimoja, baada ya hospitals, nakutajia viwanda, baada ya viwanda nakutajia miradi ya barabara, then schools, then markets, then hotels, then airport , then bus stations, then GDP, then population, then size ya mji na ongoing construction.
Nataka ukubali kimoja baada ya kingine. Kwani si wewe umesema Mbeya ni kama Bondo au Siaya? Sasa mbona hutaki kushindanisha number of universities.
Universities pekee haifanyi place kuwa city lakini as a city lazima iwe na Universities nyingi. Na baada ya kukubali issue ya universities, nitakuja sasa tushindanishe hospitals, na baada ya hospitals nitakuja na factor nyingine nyingi. Kubali kwanza kuhusu universities
Pia nataka tufananishe railway stations za Bondo na Siaya, tufananishe na hii ya Mbeya, na tuangalie dry port ya Mbeya, Bondo na Siaya ipi iko busy kuliko zote.
Maybe next time hutafananisha Mbeya na town za ajabu kama Bondo na Siaya
Acha tuone kila aspect Siaya na Bondo zina compare vipi na Mbeya. Ni wewe ndio umesema Mbeya haina tofauti na Bondo na Siaya, sio mimi