President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,371
Ruto anajua wakenya tulioua? Wote waliokufa 90% ni wakenya.Mmezika watanzania wangapi?
Ruto anajua wakenya tulioua? Wote waliokufa 90% ni wakenya.Mmezika watanzania wangapi?
Watanzania walikufa wangapi?Ruto anajua wakenya tulioua? Wote waliokufa 90% ni wakenya.
Ila James Gayo ni Mtanzania!Wakenya wanazidi kumchafua mamaaa
View attachment 3501312
Acha ujinga, kama ni wakenya mnashikilia vijana mahabusu kwa kosa gn? Hamna hata aibu, this time mmejaza wajinga bungeni ili mpitishe sheria zenu kandamizi bila kupingwa, ipo siku mtajibu tu, watanzania wa sasa sio wajinga.Huyu mwamba ndio dozi ya wakenya ambao wametuharibia nchini na kuwaua vijanaa
View attachment 3501131