Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1000200669.jpg
 
Hebu tuone yule mende akipepeaa pale migingoo kwanza.

Kuweni radaa huyo Mzee hacheki...
Mbona ipepee? Nimesema the onus of proof lies on him so wewe nionyeshe ni nini alichochukua kutoka kwetu maanake umesema mwenyewe anaichukua Nairobi Mr. Amarii the liker.
 
Mnapenda uchochezi sana hata kwa vitu ambayo havina miguu, kichwa mbele wala nyuma..
you probably have no contemplation of laws governing land borders and territories which are part of international law and national sovereignty principles. Every state has exclusive authority over its land, airspace, and internal waters within its recognized borders(maritime boundaries). You don’t just wake up one day after a bad dream and make laughable invalid claims that have no legal basis. Funny that you even think much of it. is the same guy that claimed waters surrounding Migingo island are in Ugandan territory? Absurdity 😅😅
 
Huyu mwamba ndio dozi ya wakenya ambao wametuharibia nchini na kuwaua vijanaa
View attachment 3501131
Huyu jamaa atawafinya kwelikweli. Majaliwa alikuwa na mpango wake mbaya sana. Alikuwa naanzisha Movement na Machinga na waendesha bodaboda ili aweze kumuhujum Rais.

Walianzisha Machinga SACCOS kipitia CRDB. Wakaanzisha gazeti linaitwa Machinga Gazeti lengo lao kumhujumu Rais.

Mwamba huyu hapa atawanyoosha mno.
 
Back
Top Bottom