Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

..
20251112_202904.jpg
20251113_175725.jpg
20251113_175724.jpg
20251113_175727.jpg
 
Waganda na waafrica wengi wanamsapoti mseveni kupata bahari ya hindi... Kasongo is a weak leader atajua hajuii
 
Huyu mwamba ndio dozi ya wakenya ambao wametuharibia nchini na kuwaua vijanaa
View attachment 3501131
Acha ujinga, kama ni wakenya mnashikilia vijana mahabusu kwa kosa gn? Hamna hata aibu, this time mmejaza wajinga bungeni ili mpitishe sheria zenu kandamizi bila kupingwa, ipo siku mtajibu tu, watanzania wa sasa sio wajinga.
 
Huu uzi umepoteza ladha, watu makini asilimia kubwa wameacha kukomenti kwenye huu uzi nafikiri kutokana na wajinga wachache kujifanya vipofu hawaoni ujinga uliotokea na unaoendelea, blind patriotism.
Ww machinga hawker acha kujifanya mtanzania humu.. Lock up wamejaa wenzako wakenyaa, mmeiharibu nchii tunawashugulikiaa
 
Back
Top Bottom